Mwanangikolo
Member
- Nov 10, 2022
- 63
- 105
Sawa ishu ilyotokea ni hivi wakati mtangazaji wa kipindi anampgia mtu waliyemuita mshindi wa droo ya mchongo pesa kwamba kajishindia milion 3, smart tv na jezi 3 za timu za nje. Akapokea huyo wamuitae wao mshindi kumuulza kama kacheza huo mchezo akadai hajacheza na wala hajawahi kucheza!
Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha na kumaliza kipindi kwa aibu kubwa.
Sio walikosea namba labda, hawakuhakiki na kupiga tena?Sawa inshu ilyotokea ni hv wakat mtangazaji wa kipind anampgia mtu waliyemuita mshindi wa droo ya mchongo pesa kwamba kajishindia milion 3, smart tv na jezi 3 za timu za nje. Akapokea uyo wamuitae wao mshindi kumuulza kama kacheza uo mchezo akadai hajacheza na wala hajawah kucheza!!!
Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha kama malaya kaona 🍺🍺 na kumalza kipindi kwa aibuu kubwa.
Tupe mkasa Kwanza. Maana Hatujui hata kilichotokeaKaribuni wanajamvi tushee hii stori.
====
Labda walichanganya nambaKaribuni wanajamvi tushee hii stori.
====
Wanaotaka hawapati wasiotaka wanapata na ujanja ni kupata anapewa nusu au robo ya kile alichotajiwa maisha mengine yaendeleeMshindi yupo msibani
Unaitwa nani; winny
Unaitwa winny nani; winifrida
Unaitwa winnifrida nani ; Rebecca
Rebecca? ; ndio
Umri wako; miaka 38
Unafanya kazi gani ; Sina kazi nafanya biashara ndogo
Umecheza mchongo pesa ; sijacheza
Winny au mtoto wako alicheza; mnanicheka au ningewatajia cheo changu
Hatukucheki ; mnanicheka si ndioo?
We Acha Tu ndio maana wanasema ukizaliwa mjini Peke yake ni form sixduh aiseee hizi bahati nasibu nyingi za kitapeli
Labda matangazo hayatoshi kulipa mishaharaKuna kamchezo fln hv wanacheza na upigaji wanawapanga watu ni ushenz kusaga anafanya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa inshu ilyotokea ni hv wakat mtangazaji wa kipind anampgia mtu waliyemuita mshindi wa droo ya mchongo pesa kwamba kajishindia milion 3, smart tv na jezi 3 za timu za nje. Akapokea uyo wamuitae wao mshindi kumuulza kama kacheza uo mchezo akadai hajacheza na wala hajawah kucheza!!!
Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha na kumalza kipindi kwa aibuu kubwa.