Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena.

Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya kwa raia, familia na taifa kwa ujumla wake ni jambo lisiloepukika. Na sababu iko wazi Mwl.Nyerere alikwishaisema: Ukishakula nyama ya binadamu, kamwe hutaacha kula na hata pale ambapo nafsi inakusuta na ungetamani uache

Tusome historia:

Hawa jamaa hapa chini hawakuwa tofauti na huyu wa kwetu, mbele ya macho ya baadhi ya raia wa nchi zao walionekana watu wema tu na walikuwa na machawa katika ngazi zote za serikali na vyombo vya usalama. Lakini sasa sikilizia hilo balaa walilopeleka kwenye mataifa yao:

Jean-Bédel Bokassa : Central Africa Republic (1966-1976)

Francois Macías Nguema : Equatorial Guinea (1968-1979)

Idi Amin Dada : Uganda (1971 - 1979)

Kwa picha ninavyoliona, tutashuhudia maafa ya kila aina ya na si ajabu akafikia ama hata kuvunja rekodi za miamba hawa. Wakati Ukuta
 
Yule wa kwetu Malawi alipaswa kuitwa Samia Amin Bokassa, ilo la Suluhu hana sifa, la Hassan ndio kabisa, tofauti kabisa na mzee wetu ruksa, mzee asiye na nongwa hata chembe, RIP mzee wetu ulipendwa na pande zote, tena kuna kipindi Nyerere alikuwa akimsimanga hadharani tena ana kwa ana kama wanavyojaribu kina mzee Warioba saa hizi, wala mzee wa Watu hakuwai kuwaza kumfunga mdomo mtangulizi wake.
 
Samia amini bocasa hahaaha
 
Back
Top Bottom