Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

laki mbili ndio pesa inayobaki
Okay sawa, unaweza kujenga ila unahitaji commitment na uepuke luxuries kwenye ujenzi, kwa sasa unapaswa kupata bora nyumba kwanza, save kwa mwaka mmoja then anza, kingine usijilimit kwenye laki mbili milango ya mbingu bado iko wazi muda wa kuwa uko hai, usishangae wakati umeanza tu milango mingine mizuri na iliyo mema zaidi ikafunguka.

Kila la kheri.
 
Tusidanganyane kwa kipato cha 200k kwa Mwezi huwezi kujenga ukiwa mjini. Labda kijijini nyumba za kuchoma na kuezeka mabati ya kawaida.
 
Endelea kupanga.
Kwa laki 2 kujenga nyumba ni mtihani.
Nyumba za kupanga zipo kibao.
 
tukikupa wewe hizo laki mbili mbili kila mwezi unaweza kutekeleza ulichokiandika ?
 
Tusidanganyane kwa kipato cha 200k kwa Mwezi huwezi kujenga ukiwa mjini. Labda kijijini nyumba za kuchoma na kuezeka mabati ya kawaida.
hivi zile nyumba za wagogo za Dodoma za udongo full suti hauwezi kuijenga kwa kipato cha laki 2 per month ?
 
Kama kiwanja unacho inawezekana ukiweka nia angalau Kila mwezi tofali 100
 
tukikupa wewe hizo laki mbili mbili kila mwezi unaweza kutekeleza ulichokiandika ?
😊😊😊😊.

Miaka ya 2015 onwards Mm nilikuwa nasave 1.5 Mill kila mwez kwa miaka karibia 4 na kidogo. Kwaajil Ya ujenzi.

Kwa Laki 2 nisingeweza kwakweli.
Lakin kila mtu ana malengo yake.
Ishu ni kias gan umeamua kusave kwa ajil ya jambo fulani na kiwe kias anachokimudu.

Mbona kuna wadada wanasave 5k hadi wananunua viwanja?. Au simu, au kulipia kodi, na Wanachezaga na ile michezo yao ya upatu. Mwisho wa mwaka wanachukua Chao.
Na ni waaminifu.

Kwahiyo Yeye Laki 2 amesema anaweza kwa mwezi na ndio tukamshaur kuanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…