Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Kwa nini unasoma hiyo kanuni nusu nusu?mbona umeacha maneno "....... katika masuala yaliyo katika mamlaka ya vyombo hivyo"?Yaani ulivyoandika kwamba sababu ya msingi ni usalama, AS IF YALIYOTOKEA YAMETOKEA MUDA WA MECHI.
View attachment 3265574
Kwa hiyo hiyo kanuni uliyoifanyia reference, bodi ya ligi, iliishirikiana na chombo gani kingine hadi ikafikia maamuzi yao?
Kuhairisha ❌Na sijui kwanini kuna watu wanatumia nguvu sana kuelewa jambo jepesi hivyo. Sababu iliyotajwa kuhairisha mechi si Simba kusema hawatacheza.
Wewe joseph1989 embu soma na hapa labda utamuelewa huyu.
Wasipoleta team uwanjani for the next date?Kwa nini? Hakuna Lungu lolote hapo.
Ni vema ungesoma kwanza taarifa ya bodi kwanza kabla ya kucomment,barua ya bodi imeeleza wazi kuwa imepokea barua ya SimbaHakuna barua ya malalamiko toka Simba kwenda bodi ya ligi. Hii pekee inaweza ikafanya kikao kilichoamua mechi ighairishwe kionekane ni batili. Sijui kama unanielewa.
Ungesoma kwanza taarifa ya bodi usingeandika hiki ulichoandikaHalafu 51mba mpaka sasa hawajalalamika kwa bodi ya ligi. Mwenye barua waliyoiandika 51mba kwenda bodi ya ligi aiweke hapa
Uko sahihi mkuu.....Ukija na akili za kishabiki unaona kabisa Yanga wanapewa point 3 ila ukituliza akili vizuri, ukawaza kwa kutulia basi hakuna point za mezani. Hii kesi Yanga hata waende CAS hawashindi.
Kwa hapa ndan TFF tunawaona hawana nguvu mbele ya Yanga ila kule CAF na FIFA hawa wana nguvu kuliko Yanga.
Asante. Wengine sisi kingereza shida, kiswahili tabu. Acha tu mkuu. Ila sijaona tofauti ya ulichosahihisha na kilichokosewa.Kuhairisha ❌
Kuhairisha ✅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Angalia tena MkuuAsante. Wengine sisi kingereza shida, kiswahili tabu. Acha tu mkuu. Ila sijaona tofauti ya ulichosahihisha na kilichokosewa.
Shukraaaan boss. Ni kuahirisha, sio ile niliyoandika. Ok.Angalia tena Mkuu
Kifupi nimeshangazwa sana na weredi wa viongozi wa Yanga baada ya kuona barua yao jana.The Legacy Hivi bado mnawaelewesha hawa vyura? Yani mm nimeamua niwe nawachora tuu...watu unadhani wana akili kumbe wameshakua mazuzu yanayosubiri point 3 za mezani....kwa hoja zao dhaifu eti Simba wamekimbia...nani kati ya uto na Simba wamefanya makusudi ili mechi isiwepo....
1) Kama uto walijua wataifunga Simba why wawakodi wale mabaunsa machawa wakafanye fujo...kama walikua wanajiamini kwanini wakae BM mpk muda ule kuisubiri simba...
2)Kama hoja ni mbuzi sijui.. mara wazee wafupi...why wasitoke getini bus likapita la wachezaji...
Yani inshort hao Uto wana kesi za kujibu...na walivyo viazi wakaendelea kuvunja sheria..wakaingia mlango usio...wakaruka mageti...wakaenda kujifanyisha warm up bila kuwepo wasimamizi wa mchezo ikiwemo refa...tayari bodi ishasema hakuna mchezo...
Kweli wenye akili ni 2
Angalizo...kwa sasa Simba ni brand kubwa Africa..so kama mlifikiri mtawaendesha kwa upuuzi wa kuvunja kanuni eti mnasema si wacheze tuu hilo sahauni...na mjue mpk kufikia hayo maamuzi vilikaa vichwa kujadili hajakurupuka Zubeda mwenyewe...kuna vifungu vya sheria vimepitiwa na wanasheria konki....sio kama wa upande wa pili...kila kesi chalii....
Haya kwaherini mfungo mwema wa Kwaresma na Ramadhan...
.
Acha wajipepetue vichwa vyao vimejaa maruhani...Kifupi nimeshangazwa sana na weredi wa viongozi wa Yanga baada ya kuona barua yao jana.
Leo nilikua na mapumziko kiasi nikaona nitoe darasa fupi juu yahiki sakata,kifupi nimesoma hii barua ya bodi ya ligi zaidi ya mar 10.
Hii barua imeandikwa na watu wenye akili sanaa,hata uje na hoja zako zote zinapanguliwa na hii barua moja tuu
Sawa sawa Sasa wewe ambae sio field Yako uko vzr kuliko wale wenye field zaoNi uelewa binafsi tu mkuu,mimi niko kwenye field nyingine kabisa.
Ebu tumia akili kidogo tuambie bodi ya ligi imejikita kwenye kanuni ipi hapo kuahirisha mechi? Kanuni ya 34(1.1) aitoi mpenyo kuruhusu bodi ya ligi kuahirisha mechiNImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.
Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.
Bila shaka Bodi iliahirisha mechi kutoka na taarifa ya Afisa usalama wa mchezo
Nanukuuu
“Kwasababu Bodi ilipokea pia taarifa ya ofisa Usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa….”
Hapa ni dhahiri Bodi iliahirisha mchezo kwa kanuni za usalama,
Hakuna mahali Yanga wala Simba watapata point za mezani wala kushinda kesi kwenye mamlaka yeyote ile.
Soma kanuni ya 34 1.3 iliyotumiwa na Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo kama walivyoandika kwa Barua yao.
Case closed.
Ndugu wewe nakuelekeza wa mwisho.Ebu tumia akili kidogo tuambie bodi ya ligi imejikita kwenye kanuni ipi hapo kuahirisha mechi? Kanuni ya 34(1.1) aitoi mpenyo kuruhusu bodi ya ligi kuahirisha mechi
Kanuni ya 34(1.2) pia aitoi mpenyo kwa bodi kuahirisha mechi
Kanuni ya 34(1.4) na yenyewe aitoi mpenyo kwa bodi kuahirisha mechi
Kanuni ya 34(1.5) Na yenyewe aitoi mpenyo kwa bodi kufanya ilichokifanya;
Inabaki kanuni ya 34(1.3) ambayo najua wajinga wengi wanainukuu iyo bila kujua kwamba sababu za dharura au yenye msingi itayokubalika na tff,,sababu za dharura za msingi sio iyo iliyotajwa na Simba,,iyo sio sababu ya dharura na ya msingi inayoweza kupelekea mechi isichezwe,,
Sababu iyo ilikuwa ndani ya kanuni na ingeamuliwa kikanuni,,
Tumeshuhudia timu mara kibao zinafanyiwa figisu kutofanya mazoezi ya mwisho na mechi aziahirishwi zinachezwa na adhabu zinatolewa!
Icho kipengele pia bodi ya ligi aiwezi kukisimamia kwakuwa akijitoshelezi kwasababu akuna sababu ya msingi hapo!
Sasa tuambie ni sababu ipi au kanuni ipi wameitumia bodi kwenye hizo ulizozipost hapo!
achana nalo jinga hilo mbona kule wenye nazo wawili tuKwani Hujasoma taarifa ya bodi ya ligi kupokea taarifa ya wanausalama? Mbona mleta mada kakuwekea hapo?
Leta hizo nondo usidhani Kila mtu ni boya hapa, leta hizo nondo niruke na wewe hoja Moja baada ya nyingineNdugu wewe nakuelekeza wa mwisho.
Kama ukotayari niambia nichukue nondo zangu
Leta hizo nondo usidhani Kila mtu ni boya hapa, leta hizo nondo niruke na wewe hoja Moja baada ya nyingine
Mkuu Wala usijisumbue kuhusu barua inawezekana waliandika kwa mujibu wa bodi ya ligi ayo ayatuhusu sana kinachotuhusu ni kanuni waliyosimamia bodi ya ligi kuahirisha mechi ni ipi? Timu nyingi mara kibao uwa zinakumbana na kadhia ya kufanyiwa figisu kutofanya mazoezi ya mwisho na mechi uwa zinachezwa sio kuahirisha na zinakuja kuadhibiwa kwa mujibu wa kanuni,,sasa uyu bwana atuambie ni kanuni ipi bodi ya ligi imesimama nayo kuahirisha mechi kati ya hizo zilizowekwa!Huu nao ni mtego kwa bodi ya ligi. Wasije dhani ile taarifa kwa uma ndo barua ya kwenda bodi ya ligi. We kama unayo hiyo barua iweke hapa.