Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalikuwepo,lakini nadhani mabadiliko hasa ya kitknolojia na malezi yamechangia kuchochea Kwa kiasi kikubwa upotevu wa maadili.Kwamba zamani yaani kizazi kile ndio haya mambo hayakutokea ? Sema tu sasa hivi na wanawake wamejiunga kwenye game kwa uzaidi ila kwa wanaume hii itakuwa ni muendelezo tu..., kwanza wengine hata Imani zao zinawaruhusu....
Hebu nipe mbinu mkuu, unafichikaje?Unafichika bwana...mnajisahau tu na kujiachia kupitiliza
We una michepuko mpaka ukoo mzima unaijua kha
Imenifikirisha sana mkuu na imenfanya nione ndoa ni vita.Ukiskia umeoa mke wa mtu ndio hii sasa. Swala la mahusiano halijawahi kueleweka na halitowahi kueleweka abadani.
Hatari yaniImenifikirisha sana mkuu na imenfanya nione ndoa ni vita.
Mwishowe mwanifu anakatantamaa, na kuwa kipanga mpya. Mwaminifu pia huwa ana weakness moja, anaamini anaweza kumbadilisha kipanga. Kipanga habadiliki moaka atakapo takaNa pia ni namna mioyo inavyomungana.muaminifu anaungana kipanga,mwaminifu mwingine anaungana na mwaminifu.hiyo ya kwanza lazima alie mtu
Msamaha umerahisisha mambo.Mungu wetu amejaa rehema so Kwa kustahimili tunaweza toka wachache tukatubu na kuokolewa.Mungu atusaidie kizazi hiki hali ni mbaya. Kuna muda unajiuliza tofauti ya sodoma na gomora na kizazi hiki iko wapi?
1. Wanaume kuwa mashoga imekuwa jambo la kawaida (wanajiuza mpaka kwenye mitandao) na wateja ni wengi tu.
2. Kuingiliana au kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile imekuwa kawaida na watu hawaogopi kabisa
3. Kuchepuka ndio usiseme (hata wew umeliona)
4. Watu kufanya mapenzi kwa makundi bila hata haya imekuwa kawaida wanaita 'threesome'
Mungu anaweza kukichoma hiki kizazi hata kabla ya siku ya mwisho sababu yaliyokuwa yanafanyika sodoma na gomora hata sasa yanafanyika. Tuna sababu ipi ya kutopata adhabu kama ya watu wa sodoma na gomora??
Kipanga wa kiume hubadilika pale pesa zinapoisha😂😂Mwishowe mwanifu anakatantamaa, na kuwa kipanga mpya. Mwaminifu pia huwa ana weakness moja, anaamini anaweza kumbadilisha kipanga. Kipanga habadiliki moaka atakapo taka
Wana wenza?kama wanao labda tuseme waaminifu🤷Naomba kuuliza! Hivi wale wakujichua nao tunawaweka kwenye kundi la wasio waaminifu?
Basi Baki free..Mmoja hatoshi
🤣🤣🤣🤣Tuanze na wewe una wapenzi wangapi
Maadili kivipi ? Zamani kutokana na kwamba ilikuwa kwa binti wa kike kupata ujauzito anaonekana kama mchawi watu walitupa watoto (Je hayo yalikuwa maadili)?Yalikuwepo,lakini nadhani mabadiliko hasa ya kitknolojia na malezi yamechangia kuchochea Kwa kiasi kikubwa upotevu wa maadili.
Zamani tech haikuwa imetapaka kama hivi Leo,mtu aliepo bukoba anaweza kuwasiliana na kuonana live na mtu alieko tunduma mfano Kwa video call mda wote akijiskia.je zamani?
Fikiria Sasa namnaa usaliti unavyorahisishwa na tech
Itoshe kusema sisi tumezidi