Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Wahindi wana hiyo, sisi tunayo hii wazungu(baadhi) hawana
Umenipa jibu rahisi ambalo halina mantiki hata kidogo, yaani umenijibu tu ilimradi Wala hujafanya tafakari yoyote.

Sasa habari za wahindi zinanihusu nini Mimi?

Nimekuuliza kwanini unataka nyie wanawake tu muwe mnatolewa mahari kama ada ya wazazi wako kukulea mpaka umefika umri wa kuolewa na wakati hata wazazi wa mwanaume nao wamemlea kijana wao mpaka amefikia umri wa kuoa? Ni kwamba wazazi wa mwanaume ndio hawastahili kupata hiyo ada ya kumlea mtoto wao???
 
Una kichwa kizito. Familia ya 'ke inapotoa binti yao aolewe ni kama 'wanapoteza' rasilimali. Wakati upande wa pili wanavuna matunda na juhudi ya ulezi waliyofanya wazazi na ndugu wa binti

Mwanamme anapoteza nini? Au wazazi wake wanapoteza nini? Atazaliwa watoto wataoitwa kwa jina lake Na kuendeleza ukoo wa mwanamme
 
Hilo sio dhumuni la mahali. Mahali ni shukrani kwa wazazi kwa KUMTUNZA binti anaye ende kuwa mke.

So mahali hutolewa kwa kilcho tunzwa ambacho ni Usichana wa mwanamke/bikra, ndio maana miaka ya nyuma jamii mbalimbali, zilikuwa na utaratibu wa kutambua kama huyu binti ni bikra au laah na kama hana bikra ndoa haifungwi. Ndio dhumuni la mahali.

Sema siku hizi imekuwa vice versa, siku hizi mzazi hupanga mahali kubwa kisa binti ana degree,ame.somesha mashule ya gharama,wengine wanathaminisha mahali kwa uzuri wa binti,ila hana usichana wake.

Zamani vetting ilikuwa inafanywa si kwenye bikra mpaka tabia na magonjwa ya familia,yaani process ya kuoa ilikuwa sawa na kumtafuta afisa wa usalama wa taifa anaye kabiziwa ofisi nyeti.
 
Aah wapi! Hata mjane anatolewa mahari. Ndio!
Kihistoria jamii nyingi za wakulima mtu akiondokea nguvu kazi inapungua. Kufuta machozi ya wanaopungukiwa, basi chochote kinachopangwa hutolewa kama shukrani na pia kama kifuta machozi.

Binti anaenda kulima mashamba ya ukoo anaoenda kuolewa yeye na watoto wake atakaozaa na hivyo kuongeza nguvu kazi upande huo
 
Endelea kubisha ila mahali hutolewa kwa aliye tunza usichana wake. Wenzetu miaka ya nyuma ndoa ni process, tena huchukua mda mrefu kabla ya kufungwa kuanzia,bikra,tabia za binti,tabia na magonjwa ya familia yake.
 
Sio kubisha, ndio ilivyo. Mahari inatoka mzeebaba, hata kwa waliozalia nyumbani vile vile. Viwango vinatofautiana, lkn ilimradi unachukua mtoto wa mtu inatoka
 
"...Sema siku hizi imekuwa vice versa, siku hizi mzazi hupanga mahali kubwa kisa binti ana degree,ame.somesha mashule ya gharama,wengine wanathaminisha mahali kwa uzuri wa binti,ila hana usichana wake...."

Nilisema hiko,kitu ila nilikurudisha nyuma kwa wazee wenyewe walio weka misingi ya sababu ya kwa nini binti atolewa mahali.
 
Back
Top Bottom