Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Kwenu shingapLabda huko kwenu ndio Mahari bei...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenu shingapLabda huko kwenu ndio Mahari bei...
Okay incoming😍😍😄😄😄hehe mie nasubiri
Kwetu wanaangalia furaha yangu kwanza ila hakuna kiwango utakachoweza unatoa😍Kwenu shingap
Usije ukawa msukuma nikaambiwa kisa rangi ya jangwa nilipe ng'ombe 200 🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kwetu wanaangalia furaha yangu kwanza ila hakuna kiwango utakachoweza unatoa😍
🤣🤣🤣🤣noooUsije ukawa msukuma nikaambiwa kisa rangi ya jangwa nilipe ng'ombe 200 🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Au nisije nikaambiwa mahari ni range ya bamkwe 🤗🤗😍🤣🤣🤣🤣nooo
😂😂😂😂utatoa tu mpenziAu nisije nikaambiwa mahari ni range ya bamkwe 🤗🤗😍
Aaaah weeeeh ntaondokea gia ya kwenda chooni😂😂😂😂utatoa tu mpenzi
Nilijua tu utakuja na hoja nyepesi ambazo hazina uzito wowote wa kimantiki.Una kichwa kizito. Familia ya 'ke inapotoa binti yao aolewe ni kama 'wanapoteza' rasilimali. Wakati upande wa pili wanavuna matunda na juhudi ya ulezi waliyofanya wazazi na ndugu wa binti
Mwanamme anapoteza nini? Au wazazi wake wanapoteza nini? Atazaliwa watoto wataoitwa kwa jina lake Na kuendeleza ukoo wa mwanamme
😂😂😂😂🤦🏻♀️🤦🏻♀️Na mabikra ndo siye...kwani mnawataka wa ainagaje?
Mahari haina umuhimu wowote ni jambo la kitamaduni. Ngumu kubadilisha tamaduni na hata mabadiliko yake huja taratibu , na hata hivyo tuna chance ya kuleta utamaduni mpya , kama tulivyopokea tamaduni zote za kigeni na mpya (zilizoanzishwa)Umenipa jibu rahisi ambalo halina mantiki hata kidogo, yaani umenijibu tu ilimradi Wala hujafanya tafakari yoyote.
Sasa habari za wahindi zinanihusu nini Mimi?
Nimekuuliza kwanini unataka nyie wanawake tu muwe mnatolewa mahari kama ada ya wazazi wako kukulea mpaka umefika umri wa kuolewa na wakati hata wazazi wa mwanaume nao wamemlea kijana wao mpaka amefikia umri wa kuoa? Ni kwamba wazazi wa mwanaume ndio hawastahili kupata hiyo ada ya kumlea mtoto wao???
sababu za ugumu wa kubadilika kwa hii tamaduni ziko wazi sana dada, kwa mabadiliko ya kijamii yanayoendelea kwa Kasi Hilo suala mahari lingekuwa liko kinyume na lilivyo sasa lingekuwa limeshabadilika mbona, yaani kama ingekuwa mwanaume ndio anatolewa mahari tangu enzi na enzi, Sasa tunavyoandika hapa lingekuwa limegeuka kama sio kufutwa kabisa kama ambavyo tamaduni zingine zilizoonekana kumnyima manufaa mwanamke zilivyofutwa... Ila kwa vile Hili la mahari linaonekana kunufaisha zaidi familia ya mwanamke ndio maana Bado lipo na hata wanaolipinga hawalipingi kwa uzito.Mahari haina umuhimu wowote ni jambo la kitamaduni. Ngumu kubadilisha tamaduni na hata mabadiliko yake huja taratibu , na hata hivyo tuna chance ya kuleta utamaduni mpya , kama tulivyopokea tamaduni zote za kigeni na mpya (zilizoanzishwa)
Ili tupate tamaduni mpya, tunahitaji wa kuianzisha, hivyo ukitaka kuoa; iambie familia unapoenda kuoa wakutolee mahari, walete mahari kwenu.
Wahindi wanafanya hivi.
Atakayoitaka muolewaji.Kwenu shingap
Toa hili neno "shukrani" halihusiki hapo.Mahari ni shukrani tu kwa wazazi
🤣🤣🤣🤣Tukuchoka🤒😂😂😂😂🤦🏻♀️🤦🏻♀️
Mimi huwa nawaambia wanaume humu kuchukua actions, mnatakiwa kuadvocate mambo yanayomkandamiza mwanaume na kuyafanyia kazi . Kulalamika hakusaidii sana.sababu za ugumu wa kubadilika kwa hii tamaduni ziko wazi sana dada, kwa mabadiliko ya kijamii yanayoendelea kwa Kasi Hilo suala mahari lingekuwa liko kinyume na lilivyo sasa lingekuwa limeshabadilika mbona, yaani kama ingekuwa mwanaume ndio anatolewa mahari tangu enzi na enzi, Sasa tunavyoandika hapa lingekuwa limegeuka kama sio kufutwa kabisa kama ambavyo tamaduni zingine zilizoonekana kumnyima manufaa mwanamke zilivyofutwa... Ila kwa vile Hili la mahari linaonekana kunufaisha zaidi familia ya mwanamke ndio maana Bado lipo na hata wanaolipinga hawalipingi kwa uzito.
Yes, tunajua mabadiliko ya kitamaduni ni matokeo ya radical feminism.
Changamoto ya sisi wanaume hatuwezi kuwa wamoja kwenye yale yanayotumiza au kuona kuwa unyanyasaji. Mtu akiongelea unyanyasaji katika mindset ya mwanaume anaona wanaonyanyasika ni wanawake tu. @Natufuta Ajira kila siku analeta hoja hapa za kumwelimisha na kumkomboa mwanaume akini wanaompinga kwa nguvu zote ni wanaume. Mwanaume akishafanya maamuzi kwa kutumia kichwa cha chini mara nyingi anaona mwanaume mwenzie ni kama adui wake. Leo wanaume tunazungumza kwenye mitandao huku tukiwa na fake ID maana tukisema public tunaona kama tunashusha thamani yetu ya uanaume lakini tunajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe.Mimi huwa nawaambia wanaume humu kuchukua actions, mnatakiwa kuadvocate mambo yanayomkandamiza mwanaume na kuyafanyia kazi . Kulalamika hakusaidii sana.
Wanawake tulipochoka
Kidini ni wanawake bikira tu ndio wanatolewa maharikuna mtu aliwahi kuniambia mahari ina umuhimu wake kibibilia sasa sijui kama ni kweli au la