Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Mimi huwa nawaambia wanaume humu kuchukua actions, mnatakiwa kuadvocate mambo yanayomkandamiza mwanaume na kuyafanyia kazi . Kulalamika hakusaidii sana.

Wanawake tulipochoka tulikutana Beijing😂😭
Aisee dada nakushuru sana kwa huu mtazamo ulionao.

Kitendo tu Cha wewe ku-realize kwamba Kuna ukandamizaji wa kimfumo(systemic marginalization) anaofanyiwa mwanaume ni uungwana wa Hali ya juu mno... Wanawake wenzako wengi wa sasa hawaamini kabisa kwamba zama hizi hata mwanaume pia anakandamizwa, Sasa wewe kulitambua hili inaonesha ni mtu wa Mungu sana na mpenda haki wa kweli.

Kuhusu kuongelea au kuchukua actions dhidi ya male systemic marginalization na gender biases ni jambo ambalo linafanyika sana lakini kwa bahati mbaya yeyote anayefanya hivyo anaishia kudharuliwa,kupuuzwa na kuonekana ni mjinga aliyekosa kazi ya kufanya na hakuna anayempa attention.

Canada Kuna watu wanaitwa MRA(Male Rights Activists) Hawa ni kundi la watu wanaotetea haki za wanaume, mara nyingi huwa wanatarget mambo kama male child molestation, unfair divorce laws,child custody laws, domestic violence against men, sexual harassment, spousal settlements etc...

Sasa nini huwa kina wakuta Hao MRAs kwenye hizo harakati zao za kumtetea mwanaume? Wanaambiwaga wao ni watu waliokosa kazi za kufanya na ni maadui wakubwa wa wanawake(misogynists) na zaidi ya hapo hata podcasts zao huwa hazipewi airtime kwenye mainstream medias na ndio maana hata hawajulikani, na mbaya zaidi wanaongoza kuwapiga vita ni wanaume licha ya kwamba agenda waliyonayo ni beneficial kwa mwanaume..!!

Ukitaka kumkomboa mwanaume ni kujiingiza kwenye vita Kali sana

Nafikiri unajioneaga hata humu jamvini jinsi gani kijana wetu Natafuta Ajira anavyokutana na upinzani mkali kwenye threads zake.

Inahitaji mtu mwenye open-mindedness na hofu ya Mungu hili kuona social injustice anayofanyiwa mwanaume miaka hii... Na ndio maana wewe dada nimekupa heko sana na kwanzia leo nitakuwa follower wako.
 
U spoke the truth., the society will gladly give feminists the opportunities to speak on radio stations, they will give women the opportunity to speak about themselves and their struggles on , and they will give women the stage for them to cry on all media streams in the universe but

Never for once has they giving men same opportunities to speak about their struggles, challenges most especially the alpha males, they will hardly put men on the mainstream media for them to express themselves and empower themselves.

Before a man can have a voice, he needs to create the platform himself and even at that the society will fight him when he starts making waves.

I wish one day everyone who have the resources to sponsor or time to spread the gospel of saving men and helping the boy child to help and if someone he is busy he can use people who have got the time and potential to do so.

I appreciate all tags on some topics and inbox messages i receive daily, it means a lot.
 
Unafikiri hawajui basi, wanajua vizuri kwamba kutokana na sifa na mienendo yao ya kisasa kuna namna hawastahili kutolewa mahari, ndio maana vigexo vinavyowakataa wanavipinga mfano kwenye body counts watakuja na usemi wao wa "past doesn't matter" sasa jiulize kama past doesn't matter kwanini huwa wanaficha idadi ya wanaume waliotembea nao. Hata kama ana list ya maex 10+ akiulizwa atasema mmoja au wawili, kwanini asiseme ukweli kashatemebea na wanaume 10.
Huyo nilikuwa nafanya kwenda na mantiki yake ambayo kimsingi kwa dunia ya leo hii ni mantiki mfu.

Tukirudi kuliangalia kwa mkutadha huo wa body counts, well kama unavyosema wao wenyewe wanajijua kabisa hawana sifa za kutolewa mahari, sababu kilichofanywa watolewe mahari ni ile purity ambayo Sasa hivi hawana...

Frank speaking we are in the era of women's sexual freedom, siku hizi wanawake Wana uhuru sana wa kufanya ngono kama ilivyo kwa wanaume bila kuhofia any kind of societal stigma na ndio maana hata bikra imekuwa adimu sana na linaonekana kama jambo lililopitwa na wakati... Sasa Cha kufanya hapa vile vitu vilivyokuwa vinaenda sambamba na thamani ya bikra ikiwemo mahari basi navyo vifutwe.

Ni uwemdowazimu kumtolea mahari mtu mwenye body counts zaidi ya 70 halafu unakuta kati ya hao wote 70 hakuna hata mmoja aliyewahi kumtolea posa.
 
Aisee dada nakushuru sana kwa huu mtazamo ulionao.

Kitendo tu Cha wewe ku-realize kwamba Kuna ukandamizaji wa kimfumo(systemic marginalization) anaofanyiwa mwanaume ni uungwana wa Hali ya juu mno... Wanawake wenzako wengi wa sasa hawaamini kabisa kwamba zama hizi hata mwanaume pia anakandamizwa, Sasa wewe kulitambua hili inaonesha ni mtu wa Mungu sana na mpenda haki wa kweli.

Kuhusu kuongelea au kuchukua actions dhidi ya male systemic marginalization na gender biases ni jambo ambalo linafanyika sana lakini kwa bahati mbaya yeyote anayefanya hivyo anaishia kudharuliwa,kupuuzwa na kuonekana ni mjinga aliyekosa kazi ya kufanya na hakuna anayempa attention.

Canada Kuna watu wanaitwa MRA(Male Rights Activists) Hawa ni kundi la watu wanaotetea haki za wanaume, mara nyingi huwa wanatarget mambo kama male child molestation, unfair divorce laws,child custody laws, domestic violence against men, sexual harassment, spousal settlements etc...

Sasa nini huwa kina wakuta Hao MRAs kwenye hizo harakati zao za kumtetea mwanaume? Wanaambiwaga wao ni watu waliokosa kazi za kufanya na ni maadui wakubwa wa wanawake(misogynists) na zaidi ya hapo hata podcasts zao huwa hazipewi airtime kwenye mainstream medias na ndio maana hata hawajulikani, na mbaya zaidi wanaongoza kuwapiga vita ni wanaume licha ya kwamba agenda waliyonayo ni beneficial kwa mwanaume..!!

Ukitaka kumkomboa mwanaume ni kujiingiza kwenye vita Kali sana

Nafikiri unajioneaga hata humu jamvini jinsi gani kijana wetu Natafuta Ajira anavyokutana na upinzani mkali kwenye threads zake.

Inahitaji mtu mwenye open-mindedness na hofu ya Mungu hili kuona social injustice anayofanyiwa mwanaume miaka hii... Na ndio maana wewe dada nimekupa heko sana na kwanzia leo nitakuwa follower wako.
Mnahitaji kufanya kazi ya ziada, hata huyo Natafuta ajira anazifahamu comments zangu kwenye nyuzi zake, Mimi ni muumini wa balanced society, kitu ambacho naelewa ni ngumu sana kukiachiave kwenye dunia sababu kwa jinsi dunia ilivyotengenezwa ni lazima awepo mnyonge. Very unfortunate wanaume ndio wanataka kugeuzwa wanyonge, sasa sijui itakuwaje wakati huo huo wanyonge (wanawake) hatutaki unyonge. Ndio sababu ya huu mvutano uliopo .

Hata hivyo sababu ya ukandamizaji kumetengeneza wanaume “misogynists ” Kwahiyo usikatae kuwa hili kundi lipo, Kama ambavyo lipo kundi la feminists wanaoendeshwa na chuki, ni kawaida kwenye kila movement kujitokeza watu watakayoitumua movement ndivyo sivyo.

Pamoja na yote movement ni vita, hautakiwi kuogopa kuitwa majina , habari nzuri ni kuwa hamtakosa wakuwaunga mkono, hata wanawake baadhi tutawaunga mkono, Sisi wanawake tuna watoto wa kiume , tuna wadogo wa kiume na kakaz, usifikiri hili halituhusu , unadhani kwanini baadhi ya wanaume waliunga mkono movement za feminist kisheria na kimifumo ? Mwanamke akipata haki zake = mtoto wako wa kike amepata haki zake, shangazi zenu, dada zenu, mama zenu etc. Kwanini ishindikane kwa upande wa pili???
 
Nafikiri matamanio yako ni kuona wanawaume wanasema sasa imetosha wakutane pamoja waongee kuhusu changamoto kama walivyo fanya wanawake kuitisha beijin conference, hii kitu haitatokea.

Naturaly wanawake na wanaume tumetofautiana strength and weaknesses. Kinamchompa nguvu mwanaume mbele ya mwanamke ni masculine na kinachompa nguvu mwanamke mbele ya mwanaume ni sex.

Hii masculine ya mwanaume inaweza kudhibitiwa kupitia sheria ndio maana tunaona sheria zinazohusu mahusiano na interections zote za mwanaume na mwanamke zinambana zaidi mwanaume, leo hii mwanamke akimpiga mwanaume inaonekana ni kawaida lakini mwanaume akimpiga mwanamke iyo ni kesi kubwa tu.

Kwaiyo tukisema na sisi tusuluhishe hii changamoto kwa njia kama waliyotumia wanawake yaani tuitishe conference na sisi, haitsaidia chochote maana tutaweka sheria gani ya kumdhibiti mwanamke na nguvu ya sex anayoimiliki? Tutamwambia mwanamke asidange wakati mwili wake? Labda tuweke sheria ka za wale jamaa wa Taleban, ambapo tutarudi kule kule kwenye gender inequality ambayo iliwafanya mkakutana beijini

Kitu pekee tunaweza kufanya ni kumfungulia tu code mwanaume aone uhalisia ili asinase kwenye mtego na kuwasanua mapema vijana wakiume ambao wanaingia kwenye age ya ujana.
 
Kuna vitu ili vibadilike lazima vibadilishwe kimfumo, lakini anyways Mnatumia platform gani kuwafikia atleast robo ya vijana? tena vijana wadogo?
 
Nilijua tu utakuja na hoja nyepesi ambazo hazina uzito wowote wa kimantiki.

Eti familia ya KE inapotoa Binti yao aolewe ni kama wanapoteza rasilimali... Kwa dunia hii ya leo? Hii hoja yako ingeweza kuwa na mashiko kama tungekuwa Bado tuko miaka ya 1970s huko lakini sio leo hii, yes, zamani Binti akiolewa alikuwa anaenda kuwa chini ya umiliki wa mume wake kwa maisha yake yote yaliyobaki na mume wake huyo atamtumia kwenye shughuli za uzalishaji Mali kadri anavyotaka na Binti huyo akuruhusiwa kurudi nyumbani kwao haijalishi ni changamoto gani atazopitia kwenye ndoa yake.

Hebu Sasa tuangalie suala hili kwa dunia ya leo hii kama Bado mantiki yake ni ile ile... Je, Sasa hivi wanawake Bado mkiolewa mnaenda kuwa chini ya total ownership ya mumeo kana kwamba chochote unachokuwa unakifanya kinakuwa ni kwa ajili ya maslahi ya mume wako kama ilivyokuwa kwa mabibi zetu?? Jibu ni HAPANA.

Siku hizi wanawake mnaolewa mkiwa tayari mna career zenu ambazo wazazi wako wamekujengea kwa kukusomesha, licha ya wewe kuolewa ila wanakuwa wanategemea kupata misaada kutoka kwako kupitia hiyo career yako. Kwa hiyo Sasa unakuta wewe umeolewa lakini Bado una uhusiano wa karibu sana na familia yako kwa maana ya kuwapa misaada na hivyo wanakuwa hawajapoteza nguvu kazi yoyote ile.... Na kama hiyo haitoshi unakuta Kuna muda unamshirikisha mume wako kutatua shida za nyumbani kwenu na anafanya hivyo kama uwezo Yuko nao....Sasa hapa Bado unasema wewe Binti ukiolewa familia yako inapoteza nguvu kazi??

" Mwanaume anapoteza nini? au wazazi wake wanapoteza nini?"

Wewe dada hivi kabla ya kuuliza hayo maswali ya kitoto ukifanya tafakari kwa kuangalia na uhalisia wa maisha ya leo? Au umeuliza tu kulingana na ulivyokariri maandiko?

KWa hii Karne tuliopo kwenye suala la ndoa mwanaume na familia yake wanapoteza vingi sana, wakati huo mwanamke na familia yake Wana gain vingi sana...

Mwanaume akioa kama yeye alikuwa ndio nguzo huko kwenye familia yake, itabidi apunguze majukumu na kuanza kuingalia familia yake mpya ambayo ni wewe... Yaani kama alikuwa anasomesha wadogo zake itabidi aache, kama alikuwa anatunza wazazi wake itabidi aache au apunguze, yaani kwa maana nyingine familia yake Inakuwa imepoteza nguvu kazi au rasilimali muhimu kwa ajili yako.

nimewahi kuona mwanaume aliyeacha kusomesha wadogo zake na kisha kuanza kumuendeleza kielimu mke wake mara tu alivyomuoa, halafu huyo mke baada ya kumaliza masomo yake na kupata kazi nzuri akaanza kuwasomesha wadogo zake(yaani shemeji zake na mumewe)... Sasa hapo ni familia ya nani ilipoteza?

Wanaume Karne hii wanaoa wanawake ambao wanalingana nao vipato au muda mwingine wanawake wao wanawazidi vipato, lakini pesa inayotumika kwenye ujenzi wa familia kama kununua assets, kujenga n.k kwa kiasi kikubwa unakuta ni ya mume, ila siku ndoa ikivunjika wanagawana Mali hizo 50-50, halafu bado unuliza mwanaume anapoteza nini akioa?

Hilo suala la mtoto kuitwa ubini wa baba ni hoja isiyokuwa na kichwa Wala miguu... Mtoto anaweza akabeba jina langu lakini asiwe na connection yoyote na Mimi yenye faida, angalia hata bwana Nasibu amebeba jina la Abdul.

Bado hujaleta hoja ya maana ni kwanini tuendelee kuwatolea mahari???
Mwamba amejibu vizuri hoja na ipo kiuhalisia zaidi
 
Kuna vitu ili vibadilike lazima vibadilishwe kimfumo, lakini anyways Mnatumia platform gani kuwafikia atleast robo ya vijana? tena vijana wadogo?
Wakati tunatarajia mabadiliko ya kimfumo ndipo hapo tunapeana nasaha na mbinu mbili tatu za kuji-adjust kitalaamu kwenye mfumo huu huu tulionao.

Mfano mtu kama Hakimi asingejiongeza yule mtalaka wake angeshampiga na kitu kizito, alichokifanya Hakimi ndizo izo mbinu tunazozibuni ku-adjust na mfumo uliopo.

Kuhusu platform mimi popote ambapo nakutana na vijana wenzangu nawaambia kuhusu haya masuala. Changamoto kubwa ipo hapo kwenye sex, mwanaume wa kiafrika kumshawishi hasiipe kipaumbele sex ni ngumu sana, labda atakusikiliza tu akiwa hana kitu mfukoni lakini awe na hela hamtalewana, na ndipo hapo kwenye nguvu ya mwanamke.
 
Kwa hiyo wazazi wa kijana ndio hawatakiwi kupewa hiyo shukrani ya kumlea kijana wao mpaka akafikia umri wa kuoa au??

Nipe sababu za msingi ambazo hazina mfungamano wowote na dini ni kwanini tusiwe na groom price kama ambavyo tuna bride price?
Acha mambo ya usawa, akifanyiwa mwanamke na wewe unataka the same afu kesho ukiosheshwa vyombo unakuja kulia mke wako hana heshima
 
Wakati tunatarajia mabadiliko ya kimfumo ndipo hapo tunapeana nasaha na mbinu mbili tatu za kuji-adjust kitalaamu kwenye mfumo huu huu tulionao.

Mfano mtu kama Hakimi asingejiongeza yule mtalaka wake angeshampiga na kitu kizito, alichokifanya Hakimi ndizo izo mbinu tunazozibuni ku-adjust na mfumo uliopo.

Kuhusu platform mimi popote ambapo nakutana na vijana wenzangu nawaambia kuhusu haya masuala. Changamoto kubwa ipo hapo kwenye sex, mwanaume wa kiafrika kumshawishi hasiipe kipaumbele sex ni ngumu sana, labda atakusikiliza tu akiwa hana kitu mfukoni lakini awe na hela hamtalewana, na ndipo hapo kwenye nguvu ya mwanamke.
Umeongea ukweli mkuu,

Hata wanawake wanajijua kuwa wao kitu kikubwa wanachokitegemea ni sex,,,,

Nimeona hata Tiwa savage juzi aliandika kuhusu hilo alisema kwamba "wanawake bila sex hatutoboi",
akaongezea kwamba leo hii wanawake wanaingia kwenye mahusiano na wanaume ambao wana hela ili wanaume haoo waweze kuwatunza wanawake haoo katika mahusiano hayo akasema kwamba na ukiangalia kitu pekee anachochangia mwanamke huyoo ni sex tu.

Wakati kama mwanaume hana hela hawawezi kuingia katika uhusiani naee akaongezea kwamba wanawake wajifunze kutafuta vya kwao ili hata kwenye mahusiano yao wawe na vitu vya kuchangia mbali na kutegemea sex.

Alisema Tiwa savage
 
U spoke the truth., the society will gladly give feminists the opportunities to speak on radio stations, they will give women the opportunity to speak about themselves and their struggles on , and they will give women the stage for them to cry on all media streams in the universe but

Never for once has they giving men same opportunities to speak about their struggles, challenges most especially the alpha males, they will hardly put men on the mainstream media for them to express themselves and empower themselves.

Before a man can have a voice, he needs to create the platform himself and even at that the society will fight him when he starts making waves.

I wish one day everyone who have the resources to sponsor or time to spread the gospel of saving men and helping the boy child to help and if someone he is busy he can use people who have got the time and potential to do so.

I appreciate all tags on some topics and inbox messages i receive daily, it means a lot.
Mate I'm your ardent aficionado in this forum, been following you ever since I stumbled upon your "Msaidie mwanaume mwenzako" thread, from there I knew this a guy that we should keep aloofness with.

Yes, it is cristal clear our modern society is too sympathetic and lanient to women meanwhile it is too inconsiderate and harsh to men in the similar circumstances subjected to both sexes.

Our modern society has deliberately made its habitants to believe men are immune to severity of life difficulties that women are going through that's why they deserve zero attention if they dare to speak about them.

Our modern society believe that men are the leading cause of all the bad things happening in this world that make women's lives uncomfortable that's why once a woman accuses you of rape you are automatically guilty until proven innocent.

Our modern society has zero trust to men when it comes to decency and integrity while it's very opposite to the other gender and this is the reason why you need hard evidences to make people believe you.

In our current society the whole way of living has been generally hijacked by third wave feminism which emasculate men and paves the way for female supremacy.

Jamii yetu ina amini mwanaume ana natural male privilege ambayo inamuwezesha yeye kusurive dhidi ya changamoto zozote zile na ndio maana hata kwenye vita utaskia victims wanaotangazwa sana ni wanawake na watoto tu.

Mtu yeyote anayesimama kuwatetea wanawake na watoto atapewa support yoyote anayoitaka, ila mtu huyo huyo akijaribu kuwatetea wanaume atakuwa ametangaza uadui na jamii na ndio maana watu kama Kevin Samuel walikuwa wanachukiwa sana.

Kinachotakiwa kufanywa Sasa hivi ni kutumia hizi hizi online platforms kusambaza awareness kama hii uliyonayo hili Kila mtu azinduke na kujua jamii tuliyonayo sio rafiki sana kwa mwanaume na imetawaliwa na unafiki mwingi wa kijinsia(double standards)na hivyo basi ajue jinsi gani ya kuishi accordingly.

Jaribu kugeuza jinsia kwenye hii kesi ingekuwaje?
IMG-20241016-WA0001.jpg
 
Mnahitaji kufanya kazi ya ziada, hata huyo Natafuta ajira anazifahamu comments zangu kwenye nyuzi zake, Mimi ni muumini wa balanced society, kitu ambacho naelewa ni ngumu sana kukiachiave kwenye dunia sababu kwa jinsi dunia ilivyotengenezwa ni lazima awepo mnyonge. Very unfortunate wanaume ndio wanataka kugeuzwa wanyonge, sasa sijui itakuwaje wakati huo huo wanyonge (wanawake) hatutaki unyonge. Ndio sababu ya huu mvutano uliopo .

Hata hivyo sababu ya ukandamizaji kumetengeneza wanaume “misogynists ” Kwahiyo usikatae kuwa hili kundi lipo, Kama ambavyo lipo kundi la feminists wanaoendeshwa na chuki, ni kawaida kwenye kila movement kujitokeza watu watakayoitumua movement ndivyo sivyo.

Pamoja na yote movement ni vita, hautakiwi kuogopa kuitwa majina , habari nzuri ni kuwa hamtakosa wakuwaunga mkono, hata wanawake baadhi tutawaunga mkono, Sisi wanawake tuna watoto wa kiume , tuna wadogo wa kiume na kakaz, usifikiri hili halituhusu , unadhani kwanini baadhi ya wanaume waliunga mkono movement za feminist kisheria na kimifumo ? Mwanamke akipata haki zake = mtoto wako wa kike amepata haki zake, shangazi zenu, dada zenu, mama zenu etc. Kwanini ishindikane kwa upande wa pili???
Mimi ni muumini wa balanced society, of course this was the primary target of the first wave feminism, I mean the true feminism that everyone was supporting as it aimed to eradicate all sorts of social barriers that precluded women to potentially achieve what they are capable of same as men, but here we're talking about 1960s things.

Kama unavyosema mzani hauwezi kubalance kwa asilimia 100%, Sasa huko kutokubalance ndio kunazalisha makundi ya extremists ambao ndio hao wenye chuki dhidi ya jinsia nyingine.

Mfano kama Sasa hivi modern feminists ni wanawake wenye chuki sana na wanaume na ndio hao wanaokazana kupush agenda zinazomuumiza mwanaume Kila leo, Sasa matokeo yake limezaliwa kundi la wanaume ambao nao Wana chuki sana na wanawake.

Na kwa bahati mbaya chuki hiyo inaenea kwa Kasi kiasi Cha kuonekana Sasa tuko kwenye vita... Yes we are in non-physical gender war.

Na ukitaka kuamini kwamba tuko kwenye vita ya kijinsia angalia tu nini kinachoendelea mitandaoni... Mara nyingi ikija habari inayohusu mwanamke kumjeruhui mwanaume wanawake huwa wanafurahia sana na hivyo hivyo pia kwa wanaume, habari yoyote ya mwanaume kumjeruhi mwanamke huwa inaopokelewa kwa shangwe na wanaume, hii inaonesha tayari Kuna gender division kwenye jamii yetu.

Ukienda huko magharibi Kuna kundi la wanaume wanaitwa MGTOW(Men Going On Their Own Way), hawa ni wanaume ambao hawajihusishi na wanawake kwa namna yoyote ile sio tu kimahusiano Bali hata kibiashara yaani hawashirikiani na wanawake kwenye chochote kile, yaani wanawake kwao wanawaona ni kama visiki tu... Sasa uliza hili kundi limeibukaje? Sababu ni hizi hizi tunazoongelea hapa, na mtu kama huyu hata akiona jamii inateketea hawezi kuguswa sababu hiyo jamii inamuona kama adui na haimthamini.
 
Mwamba amejibu vizuri hoja na ipo kiuhalisia zaidi
Asante sana kaka, unajua Hawa wanawake wa kisasa wanadanganya sana wanaume, huku wakiamini sisi wanaume ni mapoyoyo.

Mfano kama huyo anatupa advantage hewa za mwanaume kutoa mahari ambazo miaka hii hazipo, akisahau kwamba uhalisia wa maisha unamuumbua.
 
Mimi ni muumini wa balanced society, of course this was the primary target of the first wave feminism, I mean the true feminism that everyone was supporting as it aimed to eradicate all sorts of social barriers that precluded women to potentially achieve what they are capable of same as men, but here we're talking about 1960s things.

Kama unavyosema mzani hauwezi kubalance kwa asilimia 100%, Sasa huko kutokubalance ndio kunazalisha makundi ya extremists ambao ndio hao wenye chuki dhidi ya jinsia nyingine.

Mfano kama Sasa hivi modern feminists ni wanawake wenye chuki sana na wanaume na ndio hao wanaokazana kupush agenda zinazomuumiza mwanaume Kila leo, Sasa matokeo yake limezaliwa kundi la wanaume ambao nao Wana chuki sana na wanawake.

Na kwa bahati mbaya chuki hiyo inaenea kwa Kasi kiasi Cha kuonekana Sasa tuko kwenye vita... Yes we are in non-physical gender war.

Na ukitaka kuamini kwamba tuko kwenye vita ya kijinsia angalia tu nini kinachoendelea mitandaoni... Mara nyingi ikija habari inayohusu mwanamke kumjeruhui mwanaume wanawake huwa wanafurahia sana na hivyo hivyo pia kwa wanaume, habari yoyote ya mwanaume kumjeruhi mwanamke huwa inaopokelewa kwa shangwe na wanaume, hii inaonesha tayari Kuna gender division kwenye jamii yetu.

Ukienda huko magharibi Kuna kundi la wanaume wanaitwa MGTOW(Men Going On Their Own Way), hawa ni wanaume ambao hawajihusishi na wanawake kwa namna yoyote ile sio tu kimahusiano Bali hata kibiashara yaani hawashirikiani na wanawake kwenye chochote kile, yaani wanawake kwao wanawaona ni kama visiki tu... Sasa uliza hili kundi limeibukaje? Sababu ni hizi hizi tunazoongelea hapa, na mtu kama huyu hata akiona jamii inateketea hawezi kuguswa sababu hiyo jamii inamuona kama adui na haimthamini.
Good to know about MGTOW , ilimradi tu kusiwe na violences (mfano mauaji ya series)
 
When you talk about the group of men who are more likely to harm women, MGTOW are the least to think of, these guys have absolutely nothing to do with women be it in positive or negative way...!!

Yaani Hawa ni separatists wa society, hao hata wakukute wewe mwanamke unabakwa hapo au umepata ajali unahitaji msaada hawana time na kukusaidia, wanakupita kama ulivyo.

Hivi karibuni Kuna mafuriko makubwa sana yalitokea huko Toronto, Canada kama kawaida waathirika wakubwa walikuwa ni wanawake,watoto na wazee na vyombo vinavyohusika na uokoaji vikahitaji msaada walijitokeza wanaume wachache sana kushirikiana na mamlaka za uokoaji...

Sasa kilichofuata baada ya hapo mafeminists wakaanza kulalamika kwamba wanaume wamekuwa wabinafsi sana hawako tayari kuwasaidia watoto wao na mama zao wakati wa majanga.

Kumbuka Canada ni nchi ambayo iko feminized na hata hili kundi la MGTOW limeanzia huko Canada.
 
Heeeee 😀😀😀 mbona hatari!
 
Heeeee 😀😀😀 mbona hatari!
Na sio kidogo tu.... Ogopa sana kukiwepo na chuki kwenye jamii, maana watu watakuwa wanaiombea mabaya tu hasa wale ambao wanahisi jamii inawanyanyapaa.

Huwezi amini huko huko Kuna watu wanaombea itokee hata vita ya tatu hili dunia ianze upyaa😄😄 nenda kwenye mitandao kama Reddit uone wamarekani jinsi wanavyo msapoti Putin wakitaka akinukishe zaidi hili itokee WW111 na sababu zao zitakushangaza sana😄
 
Back
Top Bottom