Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

Msipo ingiza hoja za kidini, mwandishi amekuja na hoja nzuri hebu tutafute ukweli, nyetanyahu babaake anatokea Marekani. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani naye Anajitambulisha kama myahudi ,Irani ina watu wanaojitambulisha kama wayahudi, Saudi Arabia Misri Nako hivohivo hwa watu wakoje wanarangi ipi
 
usichojuwa kuwa wayaud wapo kila nchi pale middle na sio mwaka 1948 ila hata kabla ya hapo
 
Watakuja kukanusha Wayahudi wa Uyole.
 
Kwa hiz akili zako za matope unafikiri wayahud wote ni wazungu. Wako wayahud waarabu wapo waafrica wapo wahindi wapo wazungu wapo wairan nk nk.
 
Wanawaonea sana wapalestina aise imagine mtu aje hapa awaambie ondokeni hapa siyo kwenu .sasa muondoke mwende wapi?
 

Sawa sio kwao nenda kawatoe basi. Wenzako wanachukua kipigo na Netanyahu ameshasema vita ikiisha itabidi waidhibiti Gaza isiwe chini ya vikundi vya kigaidi
 
Wanatoka style hii

pic.twitter.com/DP4FNQ3bzA
[emoji57][emoji298]️THERE ARE SO MANY ISRAELI IDF & AMERICAN SOLDERS KILLED THAT THEY HAVE IMPOTED REFREIGERATOR CONTAINERES AS THEY RAN OUT OF SPACE IN THEIR HOSPITALS AND MORGUES
The Israeli officer, while examining the bodies, choked from the stench and foul odor OF dead idf !!
 

Ilikuaje Turkish/Uturuki wakaingia Bara la Ulaya?
 
Tupe na wewe historia unayoijua kuhusu Palestina! Tumia hata Quran kutuambia.
 
Ningependa tujadili kwa kutumia lugha ili tujue hawa ni wenyewe au lah!

Maana ilivyo hata sisi wabantu tumekuwa classified kwa sababu ya lugha.

Ndio maana kiswahili na kishona Cha Zimbabwe kina maneno mengi yanayo fanana.

Lugha zao ni Semetic
Kwenye hizi lugha zipo tatu
Nazo ni;

1)Kiyahudi

2)Kiarabu

3) Armaric ( Habesha kama wanavyoitwa wenyeji pale Ethiopia)

Nadhani kila mtu kashasikia msemo wa ant Semetic wakitumia wale Wazungu kuonyesha au kuashiria watu wenye misimamo ya kuwapinga Waisrael.

Swali la kujiuliza Waisrael wa asili ni kina nani?

Je, Ethiopian Jews
Je, Ashkenazi Jews
Je, SephardicJews
Je, Chadic jews
Je, Chinese Jews
Je, Indian Jews

Bila kujua hili huwezi kuwachambua wayaudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…