Huyo Ropo ropo wao kawa mdogo mbaya safari hii.Angepima upepo kwa kuangalia yule chizi wao manara amehaidi nini,maana adabu imemshika safari hii kawa mpole anaongea kwa kujikaza tu kutetea kibarua chake
Dawa imemuingia,ashajua derby si ya kuibetiaHuyo Ropo ropo wao kawa mdogo mbaya safari hii.
Na ujanja na uzuri wako wote bado tu hujaanza kuishabikia Young African SC?Kwa wale mashabiki kindakindaki, kesho ntakuwa uwanjani mapemaaaa. Ila sitavaa jezi yoyote maana sifungamani na upande wowote.
Baada ya matokeo ntajiunga na upande wenye shamra shamra.
Haaaaaahaaaaa tuwekeeni yule shamte muone ila hata nyoni si mbaya nae mzito tu na umri umeenda nikimuweka Morrison au Ditram kule lazma mlie!i hope namba mbili atakaa nyoni siyo shamte aiseey
Wanaweweseka hao sisi fresh tu hata wamuweke manara baridaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Kazi mnayo....
Wewe ndio utafanya la maana sasaKwa wale mashabiki kindakindaki, kesho ntakuwa uwanjani mapemaaaa. Ila sitavaa jezi yoyote maana sifungamani na upande wowote.
Baada ya matokeo ntajiunga na upande wenye shamra shamra.
Dada nina amani sasa Niyo ndani Juma Abdul ndani Papy nae ndani akishindwa watampa hata dk45 tu hz khabari za uhakika kabsaaa ilinivuruga kukosekana hawa watu!Oooh. Hamna shida tutakuwa wote Dada japo mie ni Yanga lialia.
"DaimaMbeleNyumaMwiko. [emoji3]
Hz sababu sasa mnatafuta hv nyie aliyewaaminisha kwamba mna timu nzr kihivyo ni nani? Kwa mpira gani hata msifungike? Anapigwa Barca ije kuwa ninyi? Acheni upuuzi yaani nyie mkiwafunga wenzenu mna kiwango ninyi mkipigwa ndumba huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!Utopolo wanajijua kwa uwezo wa uwanjani hawana..labda ndumba!
Kabisaa Mkuu. Japo wanakimbiaga hawa.
Halina ubishi hilo.Bibie upo? Tujipige kifuani kwa kujiamini na kusema "simba wanatufunga "
Nadhani mikia wanasonya tu wakisikia hao majamaa watakuwepo. πDada nina amani sasa Niyo ndani Juma Abdul ndani Papy nae ndani akishindwa watampa hata dk45 tu hz khabari za uhakika kabsaaa ilinivuruga kukosekana hawa watu!
Kaka na nyie si mutafutage hizo ndumba ili twende sawa sasa.Utopolo wanajijua kwa uwezo wa uwanjani hawana..labda ndumba!