Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

Yaan Kwasukwasu Fc, Wazee Wapangu Pakavu Fc, Utopolo Fc, Wazee Wakuzimia, Mbute Fc, Wahapahapa Fc Leo Watatuambia Kwa Nini Mbwa Wanapo Kulana Mwishoni Wanang'ang'aniana! Yaan
Cc Mabingwa Mara 10 Mfululizo,
Wekundu Wa Msimbazi
Mnyama,
Wakimataifa
Wanalunyas,
Taifa Kubwa,
Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Simba Sports Club
Wazee Wakidedea
Wazee Wa Vuvuzea
Timu Inayocheza Mpira Wa Kiwango Kilichothibitishwa Na Shrikisho Lampira Wamiguu Africa, Leo Pale Taifa Tunakwenda Kuwaadhibu 5-0 Hawa Wazee Wakumlazimisha Moroson Asiwaache, Hamtaamini Kwasasa Ila Saa 1 Jion Mtakua Mnasema Kimoyomoyo Dah Kunajamaa Alitutahadharisha, Kwahio Utopoloni Mcje Uwanjan Pliz
 
Kwa wale mashabiki kindakindaki, kesho ntakuwa uwanjani mapemaaaa. Ila sitavaa jezi yoyote maana sifungamani na upande wowote.

Baada ya matokeo ntajiunga na upande wenye shamra shamra.
Na ujanja na uzuri wako wote bado tu hujaanza kuishabikia Young African SC?
 
Kwa wale mashabiki kindakindaki, kesho ntakuwa uwanjani mapemaaaa. Ila sitavaa jezi yoyote maana sifungamani na upande wowote.

Baada ya matokeo ntajiunga na upande wenye shamra shamra.
Wewe ndio utafanya la maana sasa
 
Oooh. Hamna shida tutakuwa wote Dada japo mie ni Yanga lialia.

"DaimaMbeleNyumaMwiko. [emoji3]
Dada nina amani sasa Niyo ndani Juma Abdul ndani Papy nae ndani akishindwa watampa hata dk45 tu hz khabari za uhakika kabsaaa ilinivuruga kukosekana hawa watu!
 
Utopolo wanajijua kwa uwezo wa uwanjani hawana..labda ndumba!
Hz sababu sasa mnatafuta hv nyie aliyewaaminisha kwamba mna timu nzr kihivyo ni nani? Kwa mpira gani hata msifungike? Anapigwa Barca ije kuwa ninyi? Acheni upuuzi yaani nyie mkiwafunga wenzenu mna kiwango ninyi mkipigwa ndumba huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!
 
Yanga tunaenda kucheza kama underdog,ila ukweli mechi ya Leo ni muhimu zaidi kwetu. Naona tukishinda mwisho ni kiutata.
 
Unaandika sana upuuzi hivi huna hata mda wa kufikiri kidogo maana dishi limeyumba sana
 
Utopolo wakatafute dawa ambayo itawapa usingizi wiki mbili maana aibu ya leo sijui mtaiweka wapi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Dada nina amani sasa Niyo ndani Juma Abdul ndani Papy nae ndani akishindwa watampa hata dk45 tu hz khabari za uhakika kabsaaa ilinivuruga kukosekana hawa watu!
Nadhani mikia wanasonya tu wakisikia hao majamaa watakuwepo. ๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom