GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.

Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na serikali, si mtiifu tena wala mwaminifu kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Lakini pia Josephat Gwajima ni mfitini na mchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.

Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.

Gwajima ni mbinafsi asiependa kushirikisna na wananchi au wanaCCM wenzake bali yeye hutumia nafasi yake kuhimiza migawanyiko kwa maslahi ya kujipatia umaarufu binafsi ambao ni nonsense.

Gwajima si msema ukweli bali mpotoshaji mkubwa na mzushi mwenye kutamani fujo na vurugu zikitokea miongoni mwa waTanzania wamoja.

Kwa uchache wa maelezo kwasasababu ya muda, gwajima ametimiza sifa na vigezo vyote vya kikatiba kubanduliwa uanchama wa CCM. Ni wakati muafaka sasa kwa tawi la kawe kuchukua hatua muafaka bila kuchelewa ili iwe fundisho kwa waropokaji wa aina ya gwajima ndani ya CCM.

Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Je mkimwita kwenye kikao cha nidhamu kwa ninavyo wajua hata maji ya kunywa, hata kiti cha kukalia mtanyima.
 
Je mkimwita kwenye kikao cha nidhamu kwa ninavyo wajua hata maji ya kunywa,hata kiti cha kukalia mtanyima.
kwa ukosefu wa adabu na kiwango cha utovu wa nidhamu anachokionyesha dhidi ya chama na serikali, hastahili kupewa kiti cha kukaa wala maji ya kunywa wakati wa kuskizwa kwenye kikao cha maadili ya chama 🐒
 
Ukweli haupigwi teke, ukweli unakuwa embraced...

Kumfuta uanachama si Suluhu na hautafuta ukweli wa hoja na mambo yalivyo...

Mfano, ukimfukuza Polepole CCM, Je - itafuta ukweli kuwa Bi Samia na Nchimbi wamejiteua kuwa wagombea u Rais huko CCM kwa kukiuka taratibu na kanuni na katiba yenu wenyewe...??

Au Je, ukimfuta uanachama Askofu Gwajima itafuta ukweli kuwa wahuni wamefunga makanisa kihuni nje ya utaratibu wa kisheria? Itafuta ukweli kuwa taifa limegawanyika?

Dogo, acha kuwa mjinga. Tumia akili yako kunyamaza kimya au kushauri mambo sensible...!!

Waambie bwana zako;

1. Hakuna uchaguzi bila reforms. Haijalishi mnajiandaa kwa kiwango gani, haijalishi mnafanya mbwembwe gani sasa. Kila kitu kitazimika ghafla kama kibatari katikati ya upepo..!

2. Acheni kumwonea Tundu Lissu, acheni kuionea CHADEMA. Bila CHADEMA CCM haipo na uchaguzi haupo..!!

3. Fungueni makanisa ya Ufufuo na Uzima mliyoyafunga injustly, bila kufuata sheria...!

... That's all, nothing more, nothing less...

....Mkishupaza shingo, mtavunjika na hakuna wa kuwanyoshea..
 
Tlaatlaah wewe gwajima ,pole pole hawa wote hawana sera wanaogopa wenzao kama kweli wao ndiovibosi waongee ukweli wawataje wotee majina yao basi.

Wanakera watolewe kwenye chama hawastahili kukaa
 
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.

Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na serikali, si mtiifu tena wala mwaminifu kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Lakini pia Josephat Gwajima ni mfitini na mchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.

Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.

Gwajima ni mbinafsi asiependa kushirikisna na wananchi au wanaCCM wenzake bali yeye hutumia nafasi yake kuhimiza migawanyiko kwa maslahi ya kujipatia umaarufu binafsi ambao ni nonsense.

Gwajima si msema ukweli bali mpotoshaji mkubwa na mzushi mwenye kutamani fujo na vurugu zikitokea miongoni mwa waTanzania wamoja.

Kwa uchache wa maelezo kwasasababu ya muda, gwajima ametimiza sifa na vigezo vyote vya kikatiba kubanduliwa uanchama wa CCM. Ni wakati muafaka sasa kwa tawi la kawe kuchukua hatua muafaka bila kuchelewa ili iwe fundisho kwa waropokaji wa aina ya gwajima ndani ya CCM.

Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20250816-101833~2.png
 
Ukweli haupigwi teke, ukweli unakuwa embraced...

Kumfuta uanachama si Suluhu na hautafuta ukweli wa hoja na mambo yalivyo...

Mfano, ukimfukuza Polepole CCM, Je - itafuta ukweli kuwa Bi Samia na Nchimbi wamejiteua kuwa wagombea u Rais huko CCM kwa kukiuka taratibu na kanuni na katiba yenu wenyewe...??

Au Je, ukimfuta uanachama Askofu Gwajima itafuta ukweli kuwa wahuni wamefunga makanisa kihuni nje ya utaratibu wa kisheria? Itafuta ukweli kuwa taifa limegawanyika?

Dogo, acha kuwa mjinga. Tumia akili yako kunyamaza kimya au kushauri mambo sensible...!!

Waambie bwana zako;

1. Hakuna uchaguzi bila reforms. Haijalishi mnajiandaa kwa kiwango gani, haijalishi mnafanya mbwembwe gani sasa. Kila kitu kitazimika ghafla kama kibatari katikati ya upepo..!

2. Acheni kumwonea Tundu Lissu, acheni kuionea CHADEMA. Bila CHADEMA CCM haipo na uchaguzi haupo..!!

3. Fungueni makanisa ya Ufufuo na Uzima mliyoyafunga injustly, bila kufuata sheria...!

... That's all, nothing more, nothing less...

....Mkishupaza shingo, mtavunjika na hakuna wa kuwanyoshea..
ni muhimu akabanduliwa CCM ili akaendeleze uzinzi na kujirekodi video akiambukiza ukimwi waamini wake kwingineko 🐒
 
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.

Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na serikali, si mtiifu tena wala mwaminifu kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Lakini pia Josephat Gwajima ni mfitini na mchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.

Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.

Gwajima ni mbinafsi asiependa kushirikisna na wananchi au wanaCCM wenzake bali yeye hutumia nafasi yake kuhimiza migawanyiko kwa maslahi ya kujipatia umaarufu binafsi ambao ni nonsense.

Gwajima si msema ukweli bali mpotoshaji mkubwa na mzushi mwenye kutamani fujo na vurugu zikitokea miongoni mwa waTanzania wamoja.

Kwa uchache wa maelezo kwasasababu ya muda, gwajima ametimiza sifa na vigezo vyote vya kikatiba kubanduliwa uanchama wa CCM. Ni wakati muafaka sasa kwa tawi la kawe kuchukua hatua muafaka bila kuchelewa ili iwe fundisho kwa waropokaji wa aina ya gwajima ndani ya CCM.

Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mwenyekiti mwenyewe hana nidhamu wala maadili, wanachama watayatoa wapi hayo maadili
 
CCM wakishanyukana wao kwa wao, utaona vibaraka wa mwenye kiti wanavyohaha kumtetea...
 
Ndio mnachowaza mkipishana mitazamo,
haiwezekani kuishi na wanachama waliokosa adabu kwa viongoz na wasio na maadili mema kwa chama na serikali sikivu ya CCM 🐒
 
Mwenyekiti mwenyewe hana nidhamu wala maadili, wanachama watayatoa wapi hayo maadili
kua na heshima gentleman,
ukiwa pointless unakaa kimya tu na itapendeza zaidi kuliko kuropoka na kuweweseka jukwaani 🐒
 
Back
Top Bottom