Acha kujificha kwenye umbea na fabrications. Jibu swali rahisi tu: Je, itajibu au kuufuta ukweli wa hoja zao..?
Si husemwa kuwa, hoja ijibiwe kwa hoja, au....?
Hoja haipigwi teke au rungu...
Nakujua vizuri wewe
Tlaatlaah kwani ni kama mbuni mficha kichwa mchangani wakati mwili wote uko nje. Obvious utaishia kusema HAWANA HOJA YOYOTE..!
Well....
Kama ni hivyo hivyo basi kaeni tayari kwa neno hili kuwakuta na kutimia kwenu kama ambavyo Askofu Gwajima kabla hajaanza kutoa ushauri wake, alitangulia kulisema👇
Mithali 29:1 SUV
"....Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa..."
Nakutakia Tafakuri njema