GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Attachments

  • IMG_20210926_154439.jpg
    IMG_20210926_154439.jpg
    50.2 KB · Views: 16
virus wote ni muhim zaidi wakabanduliwa CCM gentleman 🐒

Tatizo CCM hajmina usafi, haijakamilika...

Mtu yeyote akitaka kuwajulisha umma uchafu wa CCM basi anaknekana ni msaliti...

CCMningekuwa ni safi wala isingehangaika nankina Gwajima, Mpina, Lissu etc...
 
Tatizo CCM hajmina usafi, haijakamilika...

Mtu yeyote akitaka kuwajulisha umma uchafu wa CCM basi anaknekana ni msaliti...

CCMningekuwa ni safi wala isingehangaika nankina Gwajima, Mpina, Lissu etc...
hakuna taasisi isiyo na utaratibu gentleman,
aende UDP akaendeleze kuropoka kama ataachwa.

Chadema iko wapi leo kwasabb ya kukosa adabu imesambaratika na kujifia kitambo tu.

Ni muhimu gwajima akabanduliwa CCM mapema iwezekanavyo 🐒
 
Kama issue ni kujikita kwenye hoja, Anza kujibu hoja za Gwajima Gentleman, na sio kubwabwaja kama bata mzinga gentleman
gwajima ana ropoka tu na kuendekeza mahubiri ya chuki na hila dhidi ya wasio wakristu.
Anatamani vita ya kidini kitu ambacho ni nonsense kanisa

huko ni kukosa hoja na kupoteza uelekeo gentleman 🐒
 
Waliopewa nafasi ya kuongea ndaninya chama leo hii wapo wapi?

Utaratibu wa ukosoaji ndani ya CCM ni mbaya pengine kuliko hata hao Chadema kwa sababu ya dhana ya zidumu fikra za mwenyekiti, waliojaribu kufanya hivyo wapo waliopoteza uhai...

Mwisho wa siku CCM kimekuwa chama cha wana, kila anayetaka kukata keki ya taifa anajifanya ni CCM ale pande lake...

hakuna taasisi isiyo na utaratibu gentleman,
aende UDP akaendeleze kuropoka kama ataachwa.

Chadema iko wapi leo kwasabb ya kukosa adabu imesambaratika na kujifia kitambo tu.

Ni muhimu gwajima akabanduliwa CCM mapema iwezekanavyo 🐒
 
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.

Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na serikali, si mtiifu tena wala mwaminifu kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Lakini pia Josephat Gwajima ni mfitini na mchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.

Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.

Gwajima ni mbinafsi asiependa kushirikisna na wananchi au wanaCCM wenzake bali yeye hutumia nafasi yake kuhimiza migawanyiko kwa maslahi ya kujipatia umaarufu binafsi ambao ni nonsense.

Gwajima si msema ukweli bali mpotoshaji mkubwa na mzushi mwenye kutamani fujo na vurugu zikitokea miongoni mwa waTanzania wamoja.

Kwa uchache wa maelezo kwasasababu ya muda, gwajima ametimiza sifa na vigezo vyote vya kikatiba kubanduliwa uanchama wa CCM. Ni wakati muafaka sasa kwa tawi la kawe kuchukua hatua muafaka bila kuchelewa ili iwe fundisho kwa waropokaji wa aina ya gwajima ndani ya CCM.

Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Kuwakemea waroho wa madaraka ni kukiuka maadili ya chama mikononi mwa wahuni
 
gwajima ana ropoka tu na kuendekeza mahubiri ya chuki na hila dhidi ya wasio wakristu.
Anatamani vita ya kidini kitu ambacho ni nonsense kanisa

huko ni kukosa hoja na kupoteza uelekeo gentleman 🐒
Huko sio kujibu hoja gentleman, ni kubwabwaja tu. Niambie kama kuna msikiti wowote uliofungiwa, au unataka kusema mashekh hawaongei siasa misikitini?
 
Huko sio kujibu hoja gentleman, ni kubwabwaja tu. Niambie kama kuna msikiti wowote uliofungiwa, au unataka kusema mashekh hawaongei siasa misikitini?
hakuna haja kumjibu mbaguzi wa kidini na mwenye chuki na hila kama gwajima gentleman.

haki yake ni kubanduliwa CCM 🐒
 
hakuna haja kumjibu mbaguzi wa kidini na mwenye chuki na hila kama gwajima gentleman.

haki yake ni kubanduliwa CCM 🐒
Nadhani unajiona ni mbwambwajaji tu, maana nimekuuliza ni msikiti gani ulofungiwa? Unajibu urojo tu, huna point
 
Kuwakemea waroho wa madaraka ni kukiuka maadili ya chama mikononi mwa wahuni
nivizuri kujiepusha kufanya ngono na waamini wako na kujirekodi huku ukisambaza ukimwi kwa makusudi.
Hayo sio maadili ya Askofu gentleman, huko ni kukosa adabu mbele ya kanisa na mbele ya Mungu 🐒
 
nivizuri kujiepusha kufanya ngono na waamini wako na kujirekodi huku ukisambaza ukimwi kwa makusudi.
Hayo sio maadili ya Askofu gentleman, huko ni kukosa adabu mbele ya kanisa na mbele ya Mungu 🐒

GGF0_1lWsAAoM5D.jpeg
 
Nadhani unajiona ni mbwambwajaji tu, maana nimekuuliza ni msikiti gani ulofungiwa? Unajibu urojo tu, huna point
nchi yetu ina utaratibu wa kisheria kuongoza taasisi za kidini, na anaegeuza taasisi ya dini kua genge la kihalifu au chama cha siasa anakua amekiuka sheria na anastahili kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria, ikiwa ni pamoja na taasisi husika kufutiwa usajili.

hizo porojo nyinginezo unaleta ni useless na completely nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom