GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Attachments

  • IMG_20240106_163212.jpg
    IMG_20240106_163212.jpg
    20.1 KB · Views: 21
nchi yetu ina utaratibu wa kisheria kuongoza taasisi za kidini, na anaegeuza taasisi ya dini kua genge la kihalifu au chama cha siasa anakua amekiuka sheria na anastahili kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria, ikiwa ni pamoja na taasisi husika kufutiwa usajili.

hizo porojo nyinginezo unaleta ni useless na completely nonsense 🐒
Bagonza anayofanya na aliyofanya gwajima yanatofauti gani?
 
haiwezekani kuishi na wanachama waliokosa adabu kwa viongoz na wasio na maadili mema kwa chama na serikali sikivu ya CCM 🐒
Mwanachama akikosoa na kukuelekeza mapungufu yako ni kukosa adabu? Ila anayekusifia ndio mwenye adabu
 
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.

Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na serikali, si mtiifu tena wala mwaminifu kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Lakini pia Josephat Gwajima ni mfitini na mchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.

Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.

Gwajima ni mbinafsi asiependa kushirikisna na wananchi au wanaCCM wenzake bali yeye hutumia nafasi yake kuhimiza migawanyiko kwa maslahi ya kujipatia umaarufu binafsi ambao ni nonsense.

Gwajima si msema ukweli bali mpotoshaji mkubwa na mzushi mwenye kutamani fujo na vurugu zikitokea miongoni mwa waTanzania wamoja.

Kwa uchache wa maelezo kwasasababu ya muda, gwajima ametimiza sifa na vigezo vyote vya kikatiba kubanduliwa uanchama wa CCM. Ni wakati muafaka sasa kwa tawi la kawe kuchukua hatua muafaka bila kuchelewa ili iwe fundisho kwa waropokaji wa aina ya gwajima ndani ya CCM.

Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
😂😂😂😂
IMG-20250816-WA0002.jpg
 
Mwanachama akikosoa na kukuelekeza mapungufu yako ni kukosa adabu? Ila anayekusifia ndio mwenye adabu
huko ni kukosa adabu kwa kiwango cha huu sana tena zaidi ya kurikodi video ya ngono ya kumsambazia muumini wake ukimwi.
anafa kuvuliwa ukristo na uanachama wa CCM kwa pamoja 🐒
 
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.

Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na serikali, si mtiifu tena wala mwaminifu kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Lakini pia Josephat Gwajima ni mfitini na mchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa wana CCM na wananchi wote kwa ujumla.

Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.

Gwajima ni mbinafsi asiependa kushirikisna na wananchi au wanaCCM wenzake bali yeye hutumia nafasi yake kuhimiza migawanyiko kwa maslahi ya kujipatia umaarufu binafsi ambao ni nonsense.

Gwajima si msema ukweli bali mpotoshaji mkubwa na mzushi mwenye kutamani fujo na vurugu zikitokea miongoni mwa waTanzania wamoja.

Kwa uchache wa maelezo kwasasababu ya muda, gwajima ametimiza sifa na vigezo vyote vya kikatiba kubanduliwa uanchama wa CCM. Ni wakati muafaka sasa kwa tawi la kawe kuchukua hatua muafaka bila kuchelewa ili iwe fundisho kwa waropokaji wa aina ya gwajima ndani ya CCM.

Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Na unec mumtoe kabisa

Lucas anasifia kila siku na cheo hapati

Gwajima anawaponda na Bado anakula posho ya unec

Haha
 
hakuna mnec alikosa adabu na mnafiki kama gwajima gentleman 🐒
 
Watu waoga na akili ndogo huwa hawataki mabishano ya hoja.. They always wanna be safe...
 
Gwajiboy ni mbaguzi wa kidini anaetumia kanisa lake kuhubiri chuki na kuhimiza uasi wa wakristu dhidi ya mamlaka za serikali na kwa viongozi waandamizi wa kitaifa wasio wakristu.
MamaSamia2025 ndio mdini. Kampa kesi ya kimagumashi Tundu Lissu. Tundu Lissu ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki. Alitaka kumuua Padre father Kitima. Kitima ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki. Kafungia kanisa la Uzima na Ufufuo linaloongozwa na baba askofu Gwajima na kuwanyima maelfu ya waumini wa kanisa Hilo nchi nzima kukosa haki yao ya msingi ya kuabudu.

Kavunja kanisa la Walutheli. Huyu shetani anayefurahia mateso ya Wakristo hatufai kabisa
 
Kwani akifutwa uanachama ndio tiket kwamba ataishi duniani milele kwamba hatakufa??
Mbona wengi wetu sio maccm na tunaishi fresh tu...whats so special kuwa ccm....mbona maccm mengi huko vijijini ni masikini wakutupwa, kwamba kuwa ccm hakujawasaidia chochote!.
 
zingatia hoja bila kuweweseka gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom