Kwa kumkataa kiongozi wa kanisa, binti yangu kafukuzwa kanisani na kusingiziwa wizi

Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.

Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.

View attachment 3652546
Alitaka kuwa nyoka halafu amfanye binti wa watu Hawa?
 
Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.

Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.

View attachment 3652546
Angemchania mistari huu: Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Fanya jambo litakalo mwangamiza Nafsi yake (Mithali 6:32).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…