MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Huyo mchungaji ni member wa JF?
Mambo Joa.Uzi huu sio chai
Si mnaona picha ya binti inafanana na ya mama yake kwenye avatar? Hance Mtanashati
Achana na baba mchungaji
Hii pisi inamfaa de Gunner
Kwa makobaz hiyo ni suna, hata wazazi wa hao wanafunzi walioliwa hawatoshangaa kuona watoto wao wamegongwa na wahusika bado wapo duniani 🔥Ninapofanya ibada Kuna madrasa, wiki kama tatu hapo mwalimu wa madrasa Mkuu amewafukuza wasaidizi wake kama Saba hivi, kisa wanatembea na wanafunzi Tena ni wadogo wadogo , Cha ajabu wamekaa wiki tu kawarudisha waendelee na usaidizi
Aisee mabinti wetu hawapo salama
Chai 😎Mambo Joa.
Vipi hali yako kwa sasa?
fungueni kanisa lenu la mabati muwe mnasali huko na sio kwenda kwenye makanisa ya watu mazuri ikiwa hamtaki kugharamiaVery sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.
Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
View attachment 3652546
Ana pepo pundaMchungaji wenu anaonekana haogopi dhambi
1. Kumtamani kondoo wa bwana
2. Kumpa mtu kesi ya uongo
3. Kumfukuza kondoo kanisani
Anyway weka no. ya mchungaji wenu hapa jukwaani apewe ushauri .
Nje ya mada.
Binti yako mrembo ana umri gani ?
Pole sanaVery sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.
Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
View attachment 3652546
Makanisa ya watu binafsi hayo. Mchungaji ndio kila kitu. Kama pale kwa Mwamposa, boss ni nani?Kwani hilo kanisa halina mamlaka zake za juu ukaripoti, au ni haya makanisa ya one-man show?