Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 3,029
- 8,823
- Thread starter
-
- #21
We are the one. Ni kauli mbiu ya kanisa, na picha zote za kanisani tunatumia pozi hiloDah! Pole sana Binti, na hiyo kunyoosha kidole kimoja juu walikuwa wanafanyaje au ndo pozi la kupigia picha
Yes, huwa tunatumia jina la hema la kukutanikiaNo church in the wild
Mtoto yuko chini ya 18, huo ushauri nipe mimiHebu nipe kwanza mawasiliano ya binti yako ili nimpatie ushauri wa kisheria. Mimi ni wakili maarufu sana hapa mjini.
Very sad. Mtu amekwenda kanisani kumfuata Yesu, lakini kiongozi badala ya kumlinda na kumjenga anamsakama kwa kutaka kulala naye. Binti amemkataa, ghafla anaanza kusambazwa kuwa ni mwizi.Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.
Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
View attachment 3652546
Ndio atutobolee mashimo ya wanetu? Mke anaye na bado anatamani vya njeMchungaji ale wapi sasa mnataka aende club?
Mshenzi sana, atavuna anachokipandaMke anaye ni umalaya tu wamsumbua
Hili neno la hekima kabisaVery sad. Mtu amekwenda kanisani kumfuata Yesu, lakini kiongozi badala ya kumlinda na kumjenga anamsakama kwa kutaka kulala naye. Binti amemkataa, ghafla anaanza kusambazwa kuwa ni mwizi.
Kama haya ni kweli, huu ni unyanyasaji na matumizi mabaya ya nafasi ya uongozi. Kukataliwa hakumpi mtu haki ya kuchafua jina la mwingine. Kama kuna ushahidi wa wizi, uwasilishwe wazi; kama hakuna, tuhuma hizi zisambazwe kwa msingi gani?
Sisi kama jamii hatupaswi kukaa kimya. Taka suala hili lichukue mkondo wa haki, lakini kwa ushahidi na kwa kufuata taratibu sahihi. Kanisa linapaswa kuwa sehemu ya usalama na maadili, si sehemu ya mtu kutumia cheo chake kumlazimisha au kumdhalilisha mwingine.
Atampelekea mkewe magonjwa aanze kuhangaikaMshenzi sana, atavuna anachokipanda
Kabisa!Atampelekea mkewe magonjwa aanze kuhangaika
Mdau umeongea kwa point. Kama tuhuma hizi ni za kweli, ni jambo la kusikitisha sana na linapaswa kuchukuliwa kwa uzito. Kuhusu namba ya mchungaji, bora apewe nafasi ya kujibu na suala lifuatwe kwa utaratibu, si kumuweka hadharani bila sababu. Kuhusu umri wa binti, hiyo ni nje ya mada kabisa 😅Mchungaji wenu anaonekana haogopi dhambi
1. Kumtamani kondoo wa bwana
2. Kumpa mtu kesi ya uongo
3. Kumfukuza kondoo kanisani
Anyway weka no. ya mchungaji wenu hapa jukwaani apewe ushauri .
Nje ya mada.
Binti yako mrembo ana umri gani ?
Nafurahi kukuona!Uzi huu sio chai
Si mnaona picha ya binti inafanana na ya mama yake kwenye avatar? Hance Mtanashati
Achana na baba mchungaji
Hii pisi inamfaa de Gunner
Una uhakika kwamba Mchungaji ni JamiiForums member?Embu tumsubiri huyo mchungaji naye aanzieshe uzi maana hii haiwezi kuamuliwa kwa kusikiliza upande mmoja tu.
Je huyo binti yako ni member wa jyf??
Wa.efanana kama maembeMchungaji wenu anaonekana haogopi dhambi
1. Kumtamani kondoo wa bwana
2. Kumpa mtu kesi ya uongo
3. Kumfukuza kondoo kanisani
Anyway weka no. ya mchungaji wenu hapa jukwaani apewe ushauri .
Nje ya mada.
Binti yako mrembo ana umri gani ?
Binti yangu kivipi?Je huyo binti yako ni member wa jyf??
Msingi wa swali langu ulijengwa kwenye hoja yako kwamba pastor aanzishe uzi, je mtu asiye member anawezaje kuanzisha uzi?Je huyo binti yako ni member wa jyf??