Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Ni mzee wa chama na mjumbe wa kudumu wa baraza kuu
 
Ni tajiri, hivyo ulivyotaja hakuna hata kimoja chakumkosesha raha.
 
Uongo .........walichoma bank miaka ile ............ili kuficha kashfa ya pesa walizoiba........unaweza kukataa kazi bank wewe labda kama ya kufagia
 
Swala la hela ilo ondoa...wale wana mahela tangu miaka ya 70
 
Wachaga hawako hivyo, hakunaga utoshelevu wa pesa kwao, hii fursa aliyopteza ilikuwa nuhimu sana ndio maana hadi amepigwa rungu zito ndio akakubali.

Atamwambia Lema nini🤣
Kweli Ila at his age hakuna alichopoteza anapata nafasi ya kuendelea na kile alichokuwa anafanya pia sifikirii Kama halikuwa anategemea chanzo kimoja cha mapato ili kuendesha maisha yake.
 
ila nimebaini kitu, wanaoumia kushindwa kwa mbowe ni masisiemu kuliko wanachama wa chadema waliompigia kura, mbowe mwenyewe na familia yake. hii imekaaje hii?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…