Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Nimeona aibu kubwa sana mzee wetu kamanda wa makamanda kupigwa Tanganyika jeki na kijana wake.
 
maneno hajawai kukosekana kutoka kwa binadamu, kuna watu wanasema eti bora asinge gombea ,angejitoa mapema, na bado angejitoa bado wangesema ,sasa nini maana ya demokrasia ni kuwapa watu uhuru wa kuchagua yule wanaye mpenda na anayepata kura nyingi ndiye anayekuw kiongozi ,jambo la kumpongeza Mbowe ameonesha mfano mzuri kwa wengine kufuata.
 
kazi benki kuu
mbona kuna stori mtaani mbowe alizungusha fm 6 yeye na ndesa
 
Nimependa hapo penye popote Duniani au Mbinguni....😁😁😁
 
Atarudia kuchukua machangu wa UDSM kama zamani bila kujificha
 
Huwa inashangaza wanavyomsifia.

Hana huo utajiri tunaoimbiwa hapa kila siku.
 
Hiyo ndio weakness yake,chama kinatakiwa kijiendeshe kupitia michango,ruzuku na wafadhili wa ndani na nje
Hilo eneo la kutegemea wafadhili wa nje ni gumu sana. Pesa haziingii hovyo nchini labda kwa njia iwe kwa njia za panya. Ukitaka kuona ugumu wa hizo pesa jaribu mtu kutoka nje akutumie 200M tu kwenye akaunti uone mtiti wake wa kuzitoa Bank.
 
Toka lini mbowe akawa na diplomatic passport?
 
Yeah hela haitoshi lazima itafutwe ,mimi nazungumzia hela hizo za kulambishwa asali za kina abdul ,utamuhonga tsh ngapi? He doesn't have a price tags.
Basi katika pindi ambayo anaweza rambishwa asali na kudhuru chama kuliko wakati mwingine wowote ni sasa. Na hili CDM ikilichukulia kirahisi kuna madhara mbele.

Mbowe akikaa na vijana wake ndani ya chama. Akiwatuliza na kuwataka wapambanie haki yao ndani ya chama na kuwapa support utulivu utakosekana hadi wakati wa uchaguzi. Hii ndio pindi anayoweza kutumika vizuri kuvuruga mambo endapo atavurugwa
 
Mwiisho wa kulala gerezani how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…