chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema.
Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha kukinga uharibifu.
Ni busara ya Msajili wa Vyama vya siasa kusogeza uchaguzi mbele mpaka disemba 2025 vinginevyo roho za watanzania na mali zao ziko hatarini.