Kwa kuzingatia hotuba ya Lemma leo, uchaguzi mkuu wa chadema utagubikwa na fujo na vurugu kubwa. Busara ya Msajili wa vyama inatakiwa kuusogeza mbele

Kwa kuzingatia hotuba ya Lemma leo, uchaguzi mkuu wa chadema utagubikwa na fujo na vurugu kubwa. Busara ya Msajili wa vyama inatakiwa kuusogeza mbele

ccm wanapenda ashinde Mbowe ili kikikosolewa na chadema kuhusu demokrasia
na kukaa mda mrefu madarakani wapate pakushikia , otherwise in this election there a lot of external pressures involving, particularly from regime . Dhumuni kubwa hapa ni kutaka kutakatisha uchaguzi uliopita na ujao ili kuonesha dunia kwamba the guys were not united and are not united something that led them to loose.
 
Back
Top Bottom