Kwa kuzingatia hotuba ya Lemma leo, uchaguzi mkuu wa chadema utagubikwa na fujo na vurugu kubwa. Busara ya Msajili wa vyama inatakiwa kuusogeza mbele

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema.

Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha kukinga uharibifu.

Ni busara ya Msajili wa Vyama vya siasa kusogeza uchaguzi mbele mpaka disemba 2025 vinginevyo roho za watanzania na mali zao ziko hatarini.
 
Umetumia machine learning gani kutabiri? Random forest, LSTM au deeplearning?
 
Chawa wa mbowe wanahaha baada ya kuona kitega uchumi chao kinayeyuka
 
CCM eti wana mapenzi sana nna mustakabali wa chadema mara hii. Ama kweli hii ni ajabu...
 
Hakuna vurugu mkuu maana ukumbuni watakuwepo wapiga kura tu na watu ambao wamepitishwa na kamati kuu kuwepo kama viongozi wa taasisi nyingine ambao watakuwe pembeni kushuhudia uchaguzi tu...hataruhusiwa mtu mwingine zaidi ya hao...Tunataka mtu apigwe kihalali kusiwe na malalamiko ya kuibiwa.
 
Kuna makundi makubwa ya watu yamesafirishwa kuja kudabya fujo
 
Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha kukinga uharibifu.
Labda mapandikizi toka ng'ambo ya pili
 
CCM mtachanganyikiwa safari hii hadi maji mtaita mmaaaaaa!!

Naona mamilioni mliyotoa kwa Mbowe na Wenje hayajafua dafu dadekiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa hiyo saivi mnataka kuutia kwapani ki jecha?🀣🀣
 
Ww ni mpuuzi kweli yaani Mwezi wa 12 mmemaliza Uchaguzi wenu!
Kinacho kuuma nikipi?
Na Kwann hujatoa Sababu za Vurugu
NB: LISU SIO MZURI LAKINI NIBORA MARA 100 KULIKO MBOWE
 
Iwapo mliokuja kwa mkopo mkazitengeneza,kilakitu kimenyoooka.
 
Kuna timu itashangazwa maana wataingia ukumbini na matokeo yako mfukoni.

Baada ya BOX kufungukiwa watalia kilio cha mbwa mwiz huku.
Stay turned....
 
Nimecheka kwa nguvu, ushauri toka kwa wategemea mbeleko ya vyombo vya dola. Yaani kama mmempa Mbowe hela zenu ujue safari hii mmeukalia.
 
Vurugu hazitokuwepo.


✌️✌️✌️✌️✌️✌✌️✌️✌️✌️✌️✌️πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…