Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Kitendo cha sisi kuwa members tu hapa ni kujuana tosha, akija ataanza kuinanga taasisi yangu wakati nilivuja jasho kuifikisha hapa ilipo😆😆
Labda huyo mtu atakuwa hana shida na kazi! After all mimi naamini hatufahamiani aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…