Sawa mkuuSio vibaya.
Lakini sisi hatutaki masikitiko yenu.
Hahahahahahaha.Siku akitaka mali zako ziwe zake pia usisahau kuandika waraka
Yaani kuna Wanaume hadi raha.Kuna post ticktock ilikuwa imeandika hivi βukikutana na Mungu saa hii utamwambia niniβ? Nikafungua comments section, Comment ya kwanza mwanaume alikuwa ameandika hivi: Nitamwambia ampe maisha marefu mke wanguβ
My heart melted π₯°
kwa mijibu wa maelezo yako kumbe na mimi nina IQ bwana ππππNote: Kwa sababu yoyote ile mkizinguana au mkichokana na mwanaume mwenye IQ atakuachia nyumba magari na atawatunza watoto bila shida,
Kwenye hili nakubaliana na wewe. Within 2 years baada ya kuacha kila kitu, nilipo leo sipo pale tena. Na hapa huwa nawaza kama nisingekuwa nawasomesha watoto ningekua mbali zaidikwani mafanikio kwake yapo kichwani.
Halafu kuna sisi wengine sasa ππππ steel wire zinatuhusuπ€£Yaani kuna Wanaume hadi raha.
Najua amemaanisha na anampenda mke wake tunawaombea mema mengi ndoa inahitaji vitu vidogo sana kuwapa furaha na amani wanandoaππΌWacha amsifie rafiki. Mana si kila mwanamke anaweza ujue.
Pia natamani asiwe ameishia kuja kumsifia huku pekee.
Kuna mtu kasema huko juu kuwa hata kwenye kikao mmeambizana hakuwa kuwaambia wanawake nakupenda, Sasa wa huku nje wanaotuambia nakupenda hawahudhurii vikao au ndio wasaliti πhii comment yako imenihuzunisha sana, iko hivi huku mtandaoni na ground ni tofauti. unaotuona tunaandika negatives apa ukija uku ground sisi ndo tunaongoza kuhusudu wanawake. mimi binafsi naongoza kuchukia wanawake huku mtandaoni ila ukija kwenye uhalisia mimi nawapenda sana na siwezi kuishi bila nyie bora tu nife π maisha ya mwanaume yanarevolve kwa mwanamke for more than 85%
just to let you know binti kiziwi
Ila huu uzi ulikuwa wa jambo zuri, Watu wakaleta negativity zao ndio maana tumewamind.Kuna wanaume wamebahatika kupata wake wema, ila wanaume wengine ni vilio tu insta, TikTok na Jf binti kiziwi
Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....
Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....
Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Yawezekana aliona nakuambiwa kuwa jamaa hawezi kurudi kama zamani.Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....
Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....
Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Kimya kimya wapi na nimecomment mkuuπHizi ID hizi kumbe huwa mnasoma kimya kimya?
wewe hulishwi unaonjeshwambona mimi nalishwa kila siku na sijaoa
Hapana, naona kama siku hizi mnapita kama vinyonga tu...Kimya kimya wapi na nimecomment mkuuπ
HAKIKA Uzi ufungwe. Huyo jamaa kalipwa stahiki yake, jamaa kalipwa, jamaa alishamtenda mwanamke kablaMwanaume anayefanyiwa ubaya na mwanamke ajitafakari sana.
Wanaume wakiwa na afya njema wana manyanyaso, ukatili, udhalilishaji na dharau +umalaya.
Kabla hujamuhukumu huyu mama, jaribu kujua maisha ya rafiki yako kabla ya kuumwa.
sisi wanawake tuna vinyongo sana na sayansi tunaijua mwanaume kuanzia miaka 38 mpaka 45 lazima awe na katatizo kake ka ugonjwa kake na sisi hapo hapo kama ulileta kero tunapiga kwenye mshono visasi vyetu havinaga haraka.
Baada ya vipimo thabiti vya daktari bingwa (Psychiatrist) ilionekana wivu wangu uko stage IV siwezi kuoa!!Nimesoma comments, Wanaume baadhi mna wivu na tabia mbaya sana.
Heal!
Mkuu Hongera sana siyo jambo rahisi lakini ni muhimu kusonga mbele bila kuharibu ulichopanda/jenga nyumakwa mijibu wa maelezo yako kumbe na mimi nina IQ bwana ππππ
Kwenye hili nakubaliana na wewe. Within 2 years baada ya kuacha kila kitu, nilipo leo sipo pale tena. Na hapa huwa nawaza kama nisingekuwa nawasomesha watoto ningekua mbali zaidi
Wewe ni ndugu yangu katkit? Alikuwa a atumia picha kama hiyo profileWewe kama alibakia kukulisha shukuru Mungu... wenzako wanakimbiwa tena wakiwa taabani....haya mambo ni kumtanguliza tu Mungu mbele