Tumeyamaliza, mkuu wangu, na msomi 'The Boy Wonder'. Sina kinyongo toka hapa kwenda mbele.Okay.
Tutakubaliana, au kutokubaliana katika hoja tu, basi; na hasa hizo hoja zinapohusu maslahi ya nchi yetu Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeyamaliza, mkuu wangu, na msomi 'The Boy Wonder'. Sina kinyongo toka hapa kwenda mbele.Okay.
Inategemea na uongozi uliopo, ila sisi wanachama wa TLS, individually tumepigia kelele sana tuu.Paskali wewe ni mwanachama mwaminifu wa TLS, na mimi nakuuliza "kwanini mkikaa kimya?"
Paskali sijawahi kuwa na imani na Uzalendo wako kwa nchi hii.Inategemea na uongozi ulipo, ila sisi wanachama wa TLS, individually tumepigia kelele sana tuu.
P
1. Serikali ilishindwa mara ya kwanza, baada Mahakama Kuu kutengua sheria batili, kakata rufaa ikashindwa tena.Paschal, sijaelewa hapo namba 10.
Serikali ilishinda au ilishindwa?
Na kama ilishinda, kwani unaliza juu ya ukimya wa TLS?
Na tuandike Katiba mpya...Hii imetufanya raia kuwa bystanders na siyo wenye nchiTulia achia hicho kiti...
Bunge lote liwe dissolved...
Rais ang'atuliwe.
Uzalendo wa kweli hukaa ndani ya mtu na sii lazima uonekane.Paskali sijawahi kuwa na imani na Uzalendo wako kwa nchi hii.
Huo ni mtazamo wako, na everyone has the right to h/is/or opinion na wengine wote wana wajibu wa kuheshimu mawazo yako hata kama hukubaliani nayo.Japo huogopi kutoa maoni yako, na wala hukuhangaika kuja na ID fake, huku JF, lakini bado Uzalendo wako kwa Taifa hili, unatia shaka.
Bado hakuna mkataba wowote !. Hiyo IGA ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA, bado!. Kanisome hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!Hivi kwa nini usiwaeleze tu serikali kwamba huu Mkataba wa DP World ni kitanzi kwa uhuru wa Nchi yetu?!!
Sawa Mkuu, nimekupata.Uzalendo wa kweli hukaa ndani ya mtu na sii lazima uonekane.
Huo ni mtazamo wako, na everyone has the right to h/is/or opinion na wengine wote wana wajibu wa kuheshimu mawazo yako hata kama hukubaliani nayo.
Bado hakuna mkataba wowote !. Hiyo IGA ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA, bado!. Kanisome hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
P
Tunafanana sana, wote ni watangazaji majasiri kweli kweli, tofauti ni tunatofautiana vipaji, wengine ni watangazaji wenye vipaji vikubwa wengine vidogo, pia ukitafuta CV zetu, you can see the difference.Kuna mstari mwembamba sana unaomtenganisha Pascal na Kitenge..
Kuniita mwanahabari uchwala ni kunitukana!, huku sio kunitendea haki!.Ajenda zote mbovu za wanasiasa huwa promoted na nyie wanahabari uchwara.
Alisema hasikilizi makelele! Hii ni zaidi ya keleleWala usichanganyikiwe ndugu yangu, hili ni jambo rahisi kabisa kuelewa!
Iko hivi, kikawaida ni kwamba mikataba yote ya uwekezaji kuanzia miaka ya 1970's imeanza kufanywa kupitia kitu kiitwacho BIT (Bilateral Investment Treaty). Ambapo huu huwa ni mkataba baina ya mataifa mawili (Two Sovereigns/Nation-States) yanayokubaliana kuruhusu uwekezaji baina ya nchi zao mbili.
Sasa, mkataba huwa unasainiwa na mataifa lakini ili kuruhusu uwekezaji ambao utafanywa na watu, mashirika na makampuni kutoka nchi hizo mbili. Mfano, wawekezaji wanaokuja kuwekeza nchini kwetu Tanzania na kusaini mikataba ya hovyo mara nyingi hufanya hivyo kwasababu nchi zao zilishasaini mikataba ya uwekezaji na Tanzania huko miaka ya nyuma. Mpaka sasa Tanzania ina BIT zisizopungua ishirini na moja (21). Ukienda kwenye mtandao wa UNCTAD utazikuta ziko wazi kabisa.
Hapa ntazungumzia kitaalamu kidogo. Nchi yetu inafuata mfumo wa sheria wa Uingereza (The Common Law System), unaitaka kila sheria ya kimataifa kabla ya kupitishwa ni lazima ipelekwe kubengeni kurasimishwa (Ratification Process) ili uwe sehemu ya sheria za nchi yetu. Hili limefanyika hata kwenye hati za muungano (Articles of the Union) zilizounda Tanzania. Hivyo basi, mashirika ya nchi ambazo zina BIT na Tanzania yanaruhusiwa kuja kuwekeza nchini kwetu na kusaini mikataba chini ya mwamvuli wa kitu kiitwacho BIT (Bilateral Investment Treaty).
Ulinzi ambao unatolewa na BITs hutoa kanuni zifuatazo ambazo huwa tunaziita "Minimum Standards":
1. Rule against discrimination.
2. Rule against expropriation
3. The Most Favoured Nation & The National Treatment
4. The Rule on Admission and Establishment of Investment
Mfano hai kabisa ni yale mazengwe ya Acacia & Barrick ambao nchi yaliyokotoka yana BIT na Tanzania. Sasa Mzee wetu alipoanza kufanya yake tu wenyewe, wakaenda kufungua kesi kule LCIA (London Centre of International Arbitration) wakitumia kanuni ya "Rule Against Expropriation" iliyowekwa ndani ya BIT. Au kama unakumbuka zengwe jingine la Sun-Lodges (Mikindani Estates) ambapo muwekezaji wa kiitaliano alinunua maelfu ya hekali za ardhi kwa ajili ya uwekezaji lakini hakuendeleza sehemu, Mzee wetu CHUMA alipotaka kunyang'anya ardhi awape wananchi jamaa akaenda kufungua kesi nje ya Tanzania kuzuia hilo lisifanyike.
Nadhani hapa sasa utakuwa umepata picha kidogo, hivyo twende kwenye IGA na DP World:
IGA ni INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT ambayo husainiwa na serikali za nchi mbili. Tanzania na United Arabs Emirates (UAE) hatuna BIT, hivyo ili kuruhusu uwekezaji nchini kwetu basi tukaamua kutengeneza mkataba wa uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai. Hivyo IGA ni baina ya Tanzania na Dubai, na taratibu za mikataba ya kimataifa kwenye nchi ambazo zinafuata mfumo wa Uingereza ni kwamba mkataba wowote wa kimataifa ukitiwa siani haitoshi ni lazima upitishwe na bunge. Ndiyo ukaona walivyofanya wakina Dada Tulia ndani ya siku moja tu, kitu ambacho kinatia sana ukakasi.
Kwanini sasa tunaukataa huu mkataba: Mambo ni mengi mno ambayo siwezi kuyasema yote hapa, ila nijaribu kukuelezea kwa kifupi tu. Naamini utaelewa, utafanya utafiti wako na wedau wengine wataongezea mambo mawili matatu:
Mosi, hii IGA ni mkataba wa kimataifa kama mingine lakini umekaa vibaya sana tofauti kabisa na BIT nyingine. Huu mkataba unampa kibali Dubai peke yake kuja kuwekeza Tanzania ilhali Tanzania hairuhusiwi kuwekeza nchini Dubai. Hili limekaa vibaya mno.
Pili, hii IGA imeingiwa kwa dhumuni la kuwekeza kwenye bandari kupitia DP World peke yake. Tofauti na BIT nyingine ambazo huwa zinasema kwamba watakuja wawekezaji kedekede kuwekeza baada ya kufuata sheria na utaratibu wa nchi. Mkataba unasema wazi kabisa mwanzoni kwamba mfalme wa Dubai (The Emir of Dubai) atawakilishwa na baadhi ya shirika fulani ambalo litaratibu ujio wa DP World.
Tatu, hii IGA imeshasema kabisa kwaba Tanzania na Dubai wanafanya makubaliano kuruhusu DP World kutekeleza miradi kupitia mikataba midogo, HGA (Commitment to enter into HGA). Ambapo hapa tunakuja kwenye kanuni ya muhimu kabisa niliyoisema hapo juu iitwayo "Rule on Admission and Establishment of Investment". Sisi tumeshasema kabisa mwanzoni kwamba baada ya kusaini huu mkataba DP World akitaka kuwekeza ataruhusiwa moja kwa moja bila kizuizi cha serikali ya Tanzania.
Binafsi naona huu ni ukichaa, kwasababu BIT nyingine duniani zimeweka utaratibu tofauti kwenye "Admission and Establishment of Investment". Kwamba kusaini BIT siyo tiketi ya moja kwa moja kuruhusu wawekezaji wa nchi fulani kuingia nchini kiholelea. Bara za Ulaya linafuata huu utaratibu kwenye BITs zake, kwamba hata kama mabunge yamepitisha mkataba (BIT), hicho siyo kigezo cha kusema mwekezaji aje tu. Kitaalamu UNCTAD wanaiita hii mbinu "Selective Liberalisation" ambapo hata kama tumepitisha mkataba tunaweza kuamua kukatalia baadhi ya wawekezaji wako kupitia sheria za nchi yetu.
Mfano wa sheria kama hii kule Ulaya ni ule uitwao The Energy Charter Treaty (ECT) ambapo Ibara ya 10 (1)-(4) zinasema kwamba kusaini makubaliano hakuwapi wawekezaji "An Automatic Right to come and Invest". Sasa hebu tujiulize swali rahisi kabisa, hivi kwenye huu mkataba wetu, pala wanaposema DP World atakuja kuwekeza kupitia HGA (Host Government Agreement), na hatutakiwi kabisa kumpa vizuizi unadhani ni akili kweli ??? Labda mimi niwe nakosea tafasiri, ila hata kule Uingereza na Marekani, DP World aliwekewa masharti katika kuanzisha shughuli za uwekezaji.
Kule Uchina BITs zao ambazo wameingia na mataifa makubwa zinatoa kitu kinachoitwa "Performance Requirements". Kampuni linapoenda kuwekeza Uchina halifanyi moja kwa moja, ni lazima lifuate vigezo. Sasa vigezo hivyo vinaweza kuwa kama "Export Requirements", "Forming Joint-Venture Agreements with Local Companies", "Transfer of Technology Requirements" n.k Hizi mbinu, ndizo zimeifanya Uchina kuwa na teknolojia ya kisasa hadi Marekani analalamika wanaibiwa haki miliki zao "Intellectual Property".
Sasa sisi tumekubali kuwaruhusu bila kuwapa masharti yoyote yale. Huu kama siyo uhaini ni nini mkuu ??? Kama TICTS hawana uwezo wa kuendesha bandari kwa ufasaha, kwanini basi msiwajengee uwezo kwa kulazimisha DP World wayape tenda mashirika ya Tanzania ili yajengewe huo uwezo ??? Kuna mambo yanasikitisha sana kukuta yanafanywa na watawala. Yaani unaona waarabu ni wazuri kuliko wamatumbi wenzako.
Nne, hii IGA imempa DP World kitu kiitwacho haki ya upekee wa kutumia na kuendesha bandari zote (Exclusive Rights) za Tanzania, kuanzia baharini na ziwani, na maeneo yote ya kibiashara (Special Economic Zones). Mkataba umeweka bayana kabisa, kwamba kukiwa na fursa za uwekezaji kwenye bandari basi ni lazima serikali iwape DP World kabla ya kufikiria hatua yoyote ile. Huku kama siyo kuuza uhuru wetu (National Sovereignty) ni nini ??? Kiufupi, huu mkataba ni LOCK-OUT AGREEMENT kwamba hatuwezi kuruhusu muwekezaji mwingine kuja kuwekeza Tanzania kwenye bandari.
Nasema haya kwasababu nimefuatilia kesi ya DP World dhidi ya Djibouti, ambapo aliwadai dola za Kimarekani milioni 200 kwa uvunjifu wa mkataba mkuu wa uwekezaji. DP World alizembea kuwekeza kwenye eneo la Doraleh tofauti na alivyoahidi hapo mwanzo. DP World wakaamua kumpa Uchina kupitia kampuni la CHINA MERCHANTS wajenge bandari. Waarabu wakapeleka kesi moja Hong-Kong na nyingine London na wakashinda kwasababu walisema Uchina ametumia rushwa kupata tenda, pili Djibouti is in material breach of their exclusive rights to utilize the ports. Hivi unadhani siku yakitokea ya kutokea watanganyika tutapona kweli ???
Mpaka sasa, ule mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambapo ulitakiwa kujenga bandari kubwa barani Afrika kuweza kushindana na zile za Rotterdam ndiyo umeshakufa kibudu. Marekani katumia DP World kuhujumu maendeleo ya Tanganyika. Kama siyo uhaini, hiki tuitaje ???
Tano, hii IGA inasema hata lilitokea tatizo lolote kidiplomasia au kwenye hali ya kimataifa, hatuwezi kabisa kuvunja mkataba na Dubai, au kuzuia utekelezwaji wa HGA za DP World. Wakaenda mbali na kusema kwamba, hata nchi ikifa na kuzaliwa nyingine, huu mkataba utabaki tu. (The IGA/HGA will subsist even in case of state succession). Wakimaanisha kwamba hata leo hii Tanzania ivunjike na Tanganyika na Zanzibar waachane basi mkataba utaendelea kuwa sehemu ya Tanganyika, tupende tusipende.
Huu ni uhaini kwasababu, hili liliwekwa wazi mwaka 1962 na Mzee Nyerere kupitia kitu tulichokiita Nyerere's Doctrine of State Succession. Kwamba mikataba ya hovyo tuliyorithi kutoka kwa mkoloni hatuwezi kuendelea nayo hata iwe ya namna gani, bila makubaliano na hayo mataifa. Hebu nikupashe siri ambayo wanasheria wengi wamepitwa. Hii siyo mara ya kwanza bandari ya Dar Es Salaam inauzwa kiholela kwa mataifa ya nje. Wakati Tanganyika inapata uhuru kulikuwa na mkataba wa Belbase (The Treaty of Belbase) ambao uliingiwa baina ya Tanganyika, Congo, Rwanda na Burundi kutumia bandari yetu milele (Infinitely) huku wakilipa paundi 2 kwa mwaka. Mkataba ulisainiwa na serikali ya Uingereza na Ubelgiji.
Mzee Lusinde aliandika barua kusema kwamba mkataba wa namna hii hawawezi kuukubali hasa kwenye sehemu nyeti kama bandari. Ukavunjwa kibabe ili kulinda nchi. Sasa wanaposema kwamba hata mahusiano ya kidiplomasia yakivunjika au litokee jambo lolote basi hauvunjwi, huu ni ukichaa. Nyerere's Doctrine of State Succession ndiyo mbinu ambayo inakubalika na wasomi wote wa Tanganyika kufuatwa katika haya mambo ya mikataba.
Lakini kubwa, huko duniani siku hizi kuna kitu kinaitwa "The Principle of Necessity" kinawekwa kwenye BITs nyingi. Kanuni hii inasema kwamba mkataba hauizuii nchi kulinda usalama wake au maslahi yake makubwa endapo italazimika ifanye hivyo. Hivi fikiria leo, inatokea vita hapa Tanzania halafu tunataka kutumia bandari kuratibu mipango au kuzifunga bandari, hawa DP World tutawatoa kirahisi kweli ??? Hebu fikiria, maana mkataba unasema hatuwezi kuwatoa kwa namna yoyote ile. Kama huu siyo uhaini ni nini ???
NB: Mengi yapo ya kiutalaamu, ila hapa nimejaribu kuzungumza kwa lugha rahisi kabisa....
Asante kwa ufafanuzi unaojitosheleza ingawa swali langu hukulijibu moja kwa moja.Wala usichanganyikiwe ndugu yangu, hili ni jambo rahisi kabisa kuelewa!

It's true baadhi ya mada zangu, kama ni kichwa panzi, utaishia chaka!. JPM hakushindwa kunielewa bali... let's let him rest in peace.Ila wakati mwingine huwa unanichanganya sana Mkuu..
Huenda ndo maana hata Hayati JPM alishindwaga kukuelewa akakuita "Bwana Njaa" ( tafsiri ya Mayala).
😁😁
Hili wasingelikubali kwasababu wangetakiwa kwanza kupewa kitu kiitwacho A CERTIFICATE OF COMPLIANCE na kusajiliwa kama kampuni la Tanzania kule BRELA. Kule Uingereza DP World wamesajiliwa kama DP World London Gateway, hivyo wanakuwa chini ya msajili wa makampuni ya Uingereza. Sisi huku kwetu hawajafanya hivyo kwasababu wanafahamu fika, wakifanya hivyo itakula kwao. Unakumbuka yale ya bwana Aliko Dangote na Mzee Chuma ???Asante kwa ufafanuzi unaojitosheleza ingawa swali langu hukulijibu moja kwa moja.
Najua, IGA ni mkataba wa ushirikiano baina ya mataifa. Kama ungebaki kwa makusudi hayo bila kumpa mamlaka DPW, nisingeendelea kuuliza. Nina maana kwamba mkataba wa IGA (kama Tanzania na Dubai haukuwepo!) ungetoa fursa makampuni ya Dubai kuwekeza Tanzania na DPW ingeomba kufanya hivyo kupitia Sheria, Taratibu na Kanuni zetu za uwekezaji.
Je, kuna nini nyuma ya huo mkataba wa IGA? ndilo swali linaloibua sintofahamu kwa kuwa una vifungu, kama ulivyochambua na nivyoelewa, ambavyo vina ukakasi na ni batili.
Wala mimi siongei naye.....Alisema hasikilizi makelele! Hii ni zaidi ya kelele
Mambo yanaendeshwa ili mradi siku ipite tu.Wanabodi,
Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na huu ndio uzalendo!, hongera sana TLS kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Kama mwanachama mwaminifu wa TLS, kwa heshima ya chama changu cha wanasheria wa Tanganyika, naomba nisikosoe jambo lolote kwenye taarifa ya TLS, ila sio vibaya kuzungumzia baadhi ya hoja ambazo TLS haikuzigusia kabisa!.
Ni baada ya kuisoma taarifa ya TLS, ndipo nikagindua mtu mwandishi wa habari kwanza, halafu ukaingia kwenye sheria, unakuwa na jicho kali zaidi kuliko jicho la mwanasheria mwanasheria tuu ambaye sio mwanahabari!.
Jicho la Mwanasheria linaangazia vifungu vya katiba, sheria, taratibu na kanuni, jicho la mwanahabari linaangalia mtazamo wa jamii, Mwananchi wa kawaida, anaona nini, anataka nini, hivyo jicho la mwanahabari linaona kuliko jicho la mwanasheria.
Baada ya Bunge letu kuridhia, niliandika makala hii, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! humo niliainisha mapungufu ya IGA hiyo kisheria kwa jicho la kiuanahabari.
TLS katika taarifa yao, kuna maeneo mengi wamepita mule mule nilimopita mimi, ila lile kubwa kuliko, "The Capacity" to contract, TLS wamelikwepa na kuliweka kiporo kusubiria wawasiliane na Dubai.
TLS hawakuyaona yale niliyo yaona mimi!. Tanzania ni nchi, inakwenda kuingia mkataba wa kimataifa wa nchi na nchi, yaani Tanzania na UAE, lakini signatories wa Tanzania ni nchi, halali signatories wa UAE ni kampuni ya DPW!, tena imesaini bila POA yoyote toka UAE!.
Kwa maneno mengine ni kampuni ya DPW imejigeuza ni nchi ya Dubai wakati ni kampuni binafsi!, sio nchi, Dubai sio nchi, nchi ni UAE!, nchi yetu haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa wa kuwa ratified na Bunge letu kama an international Treaty wakati signatories ni kampuni na sio nchi na hakuna POA yoyote ya UAE kuruihusu DPW to transact an international Treaty on behalf of UAE!.
Nimeipongeza TLS kwa uzalendo kwenye hili, ila nikiri kuwa nimeshangazwa na umakini huu wa TLS katika hili la Bandari.
Sheria Kuu kuliko zote nchini kwetu ni katiba, katiba ndio sheria Mama, sheria nyingine yoyote inayokwenda kinyume cha katiba ni sheria batili!. Kinachoibatilisha hiyo sheria yoyote kinyume cha katiba, ni katiba yenyewe!.
Mpaka leo ninapoandika hapa, Katiba yetu bado inacho kifungu batili hicho!, sheria zetu bado zina ubatili huo na TLS wako kimya!.
- Serikali yetu ime draft sheria batili, inayokwenda kinyume cha katiba, ikaipeleka Bungeni kutungwa kuwa sheria!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Bunge letu likaitunga hiyo sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba, kwanini TLS walikaa kimya?.
- Rais wa JMT akaisaini hiyo sheria batili kuwa ni sheria!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Mahakama Kuu kupitia kesi ya Mtikila, ikatamka sheria hiyo ni batili na kuitaka serikali iifute. Kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Ubatili wa sheria batili yoyote unabatilishwa na katiba, Mahakama Kuu ikiisha tamka sheria fulani ni batili kwa kwenda kinyume cha katiba, automatically sheria batili hiyo inakuwa imebatilika from there and then. Kazi ya serikali ni procedures tuu za kuifuta!. Kwanini TLS walikaa kimya na sheria batili hiyo mpaka sasa bado iko kwenye sheria zetu licha ya Mahakama Kuu kutangaza ni batili?.
- Serikali yetu ikakata rufaa kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu, ikashidwa!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Serikali yetu baada ya kubwebwa, ikafanya kubwa kuliko, ikapeleka Bungeni mabadiliko ya katiba kwa hati ya dharura, batili ile ikachomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!. Kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Bunge letu likafanya mabadiliko ya katiba na kuichomeka hiyo batili ndani ya katiba yetu!. Hivyo katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Mchungaji Mtikila hakukubali katiba yetu inajisiwe, akafungua shauri kupinga mabadiliko hayo ya katiba, Mahakama Kuu ikampa ushindi na kutangaza mabadiliko hayo ni batili!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Serikali yetu ikakata rufaa Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu, serikali ikashinda, kwanini TLS walikaa kimya?!.
Nimalizie kwa pongezi tena, TLS kwa hili la Bandari, ila kuna makubwa kuliko hili la Bandari, TLS bado hamjachelewa!.
Mungu ibariki TLS
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali

Sawa Mkuu, ahsante sana kwa muda wako na ufafanuzi murua ulioutoa.It's true baadhi ya mada zangu, kama ni kichwa panzi, utaishia chaka!. JPM hakushindwa kunielewa bali... let's let him rest in peace.
Ila kiukweli kabisa, kati ya watu walionielewa ni JPM!. Mkiisha mjua mtu ni mpenda misifa, msifie kisha utupie mnofu kwenye ndoana, anameza mzima mzima mazima, hivyo kiukweli kabisa tumemsaidia sana JPM!.
Mfano mzuri ni baada ya bandiko hili Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!, uliona tena ziara za kushtukiza?.
Baada ya bandiko hili Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The Right Time, And Doing It Right, Or ?! na hili Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu! mliona tena utumbuaji wa kibwege bwege?, niliuliza humu Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
Baada ya bandiko hili Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!, ulikuja kuona kikao cha CCM ikulu yetu?.
Hivyo JPM tumemsaidia sana. Sasa ni zamu ya Samia, tunamsaidia!.
P