Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Muhimu tuongeze beki wa kati kiukweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kusifia mume wa mtu, sifia wako mrembo.Ktk kikosi cha Yanga namkubali Yannick bangala, yule kweli ni mchezaji.
Aziz ki hamfikii Saidoo hata robo, ukweli kabisaaa.
Nimesikitika mno kwani hamna KituMserbia keshasajiliwa hukoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msifie wee bas, vipi ni amekuoa wee??Acha kusifia mume wa mtu, sifia wako mrembo.
Ungejua pahali ilipo kambi ya fisi usingeropoka hivyo, hujui leo hii utavamiwa na fisi wewe, Chunga domo lako binti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msifie wee bas, vipi ni amekuoa wee??
Samahan shost, mumeo namsifia kiuchezaji sio vinginevyo, kuwa na amani mwayaaaaa.
NakaziaHaya wahi ukameze dawa zako
Nitoleee ngonjera zako hapa lolUngejua pahali ilipo kambi ya fisi usingeropoka hivyo, hujui leo hii utavamiwa na fisi wewe, Chunga domo lako binti
Sina ngojera mremboNitoleee ngonjera zako hapa lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina ngojera mrembo
Akachukua kiatu cha ufungaji boraHata mayele alipondwa hivi hivi kilichofata badae ni historia.
Mamaeeeee aahaaaaaYassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto.
Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana.
Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba Stephanie Aziz Ki.
Mchezaji pekee ambaye amecheza vyema, ameonyesha Kipaji Kikubwa na Uwezo wa hali ya Juu ( japo haimbwi, anadharaulika na alitaka hata Kuachwa ) ni Farid Mussa.
Fiston Mayele sasa hivi Sifa zimemzidi Kiwango na Kawekeza zaidi katika Style yake ya Kushangilia badala ya Kubuni Mbinu mpya za Kufunga Magoli ( Mabao )
Kama kuna Golikipa ambaye Yanga SC wanae sasa ila ni Mbovu ( isopokuwa analindwa na Mabeki wake ) na atakuja Kuigharimu pakubwa Yanga SC ni Kipa Guigui Diara.
Kama kuna Beki wa Yanga SC ambaye kwa Kiwango chake Kibovu cha sasa hana Hadhi Kuichezea ( na nashangaa bado ni Nahodha ) ni Bakari Nondo Mwamnyeto.
Kama kuna Beki ambaye namkubali Yanga SC kutokana na Kutumia Akili nyingi japo ana Umbile Dogo ni Dickson Job na nawashauri Yanga SC wamrumie mno huyu kuliko Mzee wa Kuchomesha Beki Bakari Nondo Mwamnyeto.
Kiraka Yannick Bangala kwa Kiwango chake, Confidence yake na Football Commanding Skills zake ile Tuzo ya NBC Premier League 2021 / 2022 ilimstahili na aliistahili kabisa kwani Jamaa anajua na napenda anavyokichafua Uwanjani.
Pamoja na Kufungwa na Vipers FC bado nawaona Yanga SC kuwa ni League Title Contender Msimu ujao ( Unaokaribia Kuanza tena ) kwani wana Wachezaji wengi Wakubwa, Wazuri na wa Kuamua Matokeo muda wowote ule.
Kufungwa na Vipers FC wala Kusiwavunje Moyo bali wajjtathmini, wajirekebishe na wajipange zaidi kwa Mechi za Ligi na za Kimataifa pia kwani nawaona wakifika mbali Kimashindano.
Yangu leo GENTAMYCINE ni haya tu!!!