Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi ilifanya kweli!! Lakini majeshi ya marekani bado yameshilikia sehemu ya syria na yanaiba mafuta!! Lakini ubabe huo ni halali kwa marekani!!

Cha kushangaza Marekani na washirika wake wanailalamikia sana Urusi kukubali kuyatambua na kuya pokea majimbo manne ya ukraine yaliyoamua kwa hiari yake kwa njia ya kura kujiunga na urusi!! Kwa kweli nyani haoni kundule!! Kwa mabeberu DONBASS na CRIMEA kujitenga na Ukraine ni haramu lakini KOSOVO kujitenga na Serbia ni halali!! Kama ni ushetani basi umepitiliza!! Ni aibu sana kuwa mmarekani!!
 
Marekani na Europe wakifanya lolote inaonekana sawa kwasababu media zote wanazo wao. Ila mwengine akifanya inakuwa nongwa mrusi anapigana na nchi za mipakani mwake tu. Lakini Marekani na Europe wao wanachapa yoyote na kuiba juu. Ile gold gun na gold piano kule 🇬🇧 zinafanya nini??
 
Mmarekani hajawahi kua rafiki wa kweli...
 
Mmarekani ni janga la Dunia
Ni tapeli na anavizia fursa kwa kuwaonea watu na mataifa anayojua anawamudu na kuweza kuwadhulumu

Wanaiba mafuta huku wakimshikisha Turkey kwa kupitisha mafuta mpaka kwao
Tangu wakati wanamuondoa Saddam ndio njia zao hizo and I was there wala sio hadithi

Hawawezi kuishi bila wizi na mbinu za kishenzi
Mnaambiwa Opium ni haramu ila kwao ndio biashara kubwa huko Afghanistan wakisaidia na [emoji636]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…