mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi ilifanya kweli!! Lakini majeshi ya marekani bado yameshilikia sehemu ya syria na yanaiba mafuta!! Lakini ubabe huo ni halali kwa marekani!!
Cha kushangaza Marekani na washirika wake wanailalamikia sana Urusi kukubali kuyatambua na kuya pokea majimbo manne ya ukraine yaliyoamua kwa hiari yake kwa njia ya kura kujiunga na urusi!! Kwa kweli nyani haoni kundule!! Kwa mabeberu DONBASS na CRIMEA kujitenga na Ukraine ni haramu lakini KOSOVO kujitenga na Serbia ni halali!! Kama ni ushetani basi umepitiliza!! Ni aibu sana kuwa mmarekani!!