Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Kwa hii post nakwambia kuna watu watakwambia imeshawahi kuwatokea wanataka kutekwa na majambazi wakatoa Kifalu au Manowali kabisa...


Anyway i just tried to show yu that ktk threads hii kuna watu mpaka wanaongea uongo. Kuielewa post yangu ilibidi uwe umetulia kidogo its ironicaly

Mkuu Sub Machine Gun (SMG) ni silaha ya kivita, kumiliki kwa matumizi ya kawaida sio rahisi.
 
hahah chai hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeufatilia huu Uzi mwanzo hadi ulipokomea nimegundua watanzania wengi ni waongo.
 
dah jaman hizi story nyengine Nina was was Nazo maana mnanieka kwenye dilema, cjui niamini au laaa

Ile safari ningekuwa nipo peke yangu ningehisi labda nilikuwa nimesinzia nikawa ninaota ila nilikuwa na familia yangu akiwepo na shangazi yangu ambaye alipiga kelele hizo si za nchi hii.

Mpaka leo huwa tunamtania shangazi badala ya kutoa shahada wewe unalalamika mimi nakuua kwani mimi ndio mtoa roho ,.

Amini mkuu hizi habari zipo na uzuir akusimulie muhusika siyo yule aliyesimuliwa tu kisha na yeye akaenda kusimulia kama alikuwepo eneo la tukio.
 
Dah kuna maeneo umeyataja humo yananikumbusha mbali sana... Tanga wilaya ya Mkinga....

Sent from my VKY-L29 using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa darasa la Sita Mwadui SAA Sita mchana nikitoka shule nikawa napishana na MTU nikajikuta nimesogezwa pembeni kama mita 2 hivi nisimkaribie mtu huyo niliekuwa napishana nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…