Alipata ajali mkoani akasafirishwa kwa ambulance mpaka muhimbili.. Hospital ya mkoani nayo ilisema nyonga jamaa wa muhimbili nao wakatembea na hiyo bitDuuh hii ilikuaje mkuu emu simulia kidogo yaan mashine ilisoma ameteguka nyonga ila mlipojiongeza kwenda kupima kwengine ikasoma kapasuka bandama?
Huyu watamuita chobi wamzibe mdomo ila sio mara ya kwanza kufanya hivyo sio mara ya kwanza kuna kipindi alishaviongelea vyoo vya Airport kwamba ni vichafu na havina maji, sasa sijui walimalizana nae vipi😄😄😄 Serikali yenyewe inavyopenda uchawa hii na kusifiwa sifiwa halafu yeye ana waponda , Ngoja kwanza tuone hili movie
Kwa hio mkaamua kuhamisha magoli si ndio mkuu?Alipata ajali mkoani akasafirishwa kwa ambulance mpaka muhimbili.. Hospital ya mkoani nayo ilisema nyonga jamaa wa muhimbili nao wakatembea na hiyo bit
naona umeeleza mambo useless gentleman na sina muda wa hizo mambo.Jibu hoja kwanza. Usidandie treni kwa mbele.
Wameshajitokeza kutoa "ufafanuzi"..Muhimbili hawato mmaind kweli !?
ilifaa apimwe na afya ya akili pia huyu muungwana, nadhani ingesaidia sana,Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.
Anasema asingeenda India angepooza milele.
Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.
Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.
View attachment 3556025
Truth and only truth that will set you free.Muhimbili hawato mmaind kweli !?
Pole pole Tulikuwa tuna mjaza hivi hivi , 😄 akisha nyakuliwa huyo watu tutaishia kupost justice for dudubaya only ,Truth and only truth that will set you free.
Acha basiii 😄🙌Wameshajitokeza kutoa "ufafanuzi"..
Ukaanza kusumbuaje ulikosa hewa au ulikua unaona unataka kupasuka? Maana kwa mujibu wa maelezo yake anasema aliuza kwanini wanavalishwa headphones masikioni akaambiwa ni kwa ajili ya usalama wake ubongo unaweza ukapata hitilafu, wewe ilikuaje ukasumbua kwenye mashine mpaka wakakutoa baada ya dakika 30 wakati yeye amekaa zaidi ya dakika 45 na vipimo vikasoma tofauti na alivyoenda kupima IndiaAnachoongea ni kweli...na ni hosp karibu zote TZ mashine used.
Mi yalinishinda...niliingizwa kwenye hyo mashine ya MRI baada ya dk 30 nikaanza kusumbua wakanito.,
Upo wapi huo ufafanuzi?Wameshajitokeza kutoa "ufafanuzi"..
Pole sana mkuu, pole sana i feel your pain mkuu poleKwa mtu ambaye hajawahi uguliwa na mtu wake ugonjwa seriuos atambishia huyo mwamba hospitali zetu choka mbaya hazina wataalamu wala vifaa.
Juzi nimempoteza baba yangu mzazi hospitali ya rufaa mbeya kimzaa tu tulikuwa tumeagizwa tumtafutie chakula tunarudi mzee wetu hajitambui baadaye amefariki bado nalia nimeumia sana.
Wakuu tutunze afya zetu hospitali zetu ni danganya toto ukienda ukirudi shukuru Mungu
Mzee wangu hakuwa wa kufa kwa ugonjwa ule
RIP my father
Anajali basi mkuu! ila ameongea Ukweli Mtupu Muhimbili is Corrupted!Muhimbili hawato mmaind kweli !?
Hii Bongo wanaweza kumsubiri airport anarudi wakaondoka nae, haieleweki kabisa. Ukiwa tofauti tegemea lolote muda wowoteMuhimbili hawato mmaind kweli !?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yuko sahihi Hospitali za Umma za Bongo ni shida.Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.
Anasema asingeenda India angepooza milele.
Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.
Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.
View attachment 3556025
All government Mchana tu tumetoka kuongelea Issue ya DP world hatujapumzika vizuri dudubaya kaja na hiliAnajali basi mkuu! ila ameongea Ukweli Mtupu Muhimbili is Corrupted!
Hata Mimi nimecheka sana,ila Hospitali za Umma Kwa Tanzania ni shida tupu,nenda at your own risk Ukiwa na hela nenda private.Hahaha nimeishia kucheka tu hakuna namna hahaha eti unavalishwa Headphones wewe umekua DJ?