Kwa maelezo ya CDF Mabeyo, Tundu Lissu ni muongo wa kutupwa

Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
🥹🥹🥹 ni huzuniiiii
 
Ulitegemea CDF aeleze kiiilakitu?? Refresh ubongo wako masta
 
Ukitaka kuanza kuulizana haya maswali wewe na hao kina Mabeyo ndo mtageuka waongo wa kutupwa! Nyie si mlikuwa mnabisha hata kama anaumwa mkasema yupo ofisini anapiga kazi hawezi kwenda magomeni.

Hata ishu ya kuumwa aliianzisha Lissu na mkabisha asilimia elfu
 
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.

Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa kwenda kutibiwa Nairobi na baadae kwenda nje ya nchi wakati kwenye maelezo ya CDF mstaafu Mabeyo hakikutokea kitu kama hicho na Magufuli hakusafirishwa popote na alifia hospitali ya Mzena iliyokuwa inalindwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Kwa uongo wake huu Tundu Lisu anaamika na nani tena?
Kikubwa hapo ni kifo cha Magufuli
 
Au unataka kusema kuwa Magufuli hakuwa anaumwa?
 
Pumbafu
 
Ukitaka kuanza kuulizana haya maswali wewe na hao kina Mabeyo ndo mtageuka waongo wa kutupwa! Nyie si mlikuwa mnabisha hata kama anaumwa mkasema yupo ofisini anapiga kazi hawezi kwenda magomeni.

Hata ishu ya kuumwa aliianzisha Lissu na mkabisha asilimia elfu
😂😂😂
 
Ubongo wako umechanganyika na haja kubwa wewe hata hujui unaandika nini. Tunachoshukuru tu watanzania ni kuwa Lissu yuko hai na dhalim Magufuli yuko motoni.

Alafu wewe utakuwa wapi
 
Back
Top Bottom