House4Rent Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba na Viwanja karibu hapa

Apartment inapangishwa, Ina vyumba viwili kimoja master bedroom, sebule kubwa, dinning, jiko la kisasa na mazingira mazurii ya utulivu.... Nyumba ipo karibu na barabara..Maji ya uhakika dawasa Bei 500k per month. 0743941142.
 
Kiwanja kinauzwa madale (Kanjibhai street) kina ukubwa wa SQ meter 500,
Kiwanja kipo surveyed na kipo ktk mtaa wenye ujirani mzuriii tambarare, na karibu na huduma zote za jamii.

Bei 16m mazungumzo yapo.

0743941142

 
Ni apartment mpyaa... Ya vyumba viwili, sebule, Jiko na Choo.... Ina facilities zote... Maji dawasa, na umeme kila mtu na luku yake. Asked price 500k per month. 0743941142

 
Kwa mahitaji mbalimbali ya Nyumba, Chumba frames wasiliana nami, makongo juu ktk maeneo mazuri na tulivu.... 0743941142.
 
Nyumba Ina vyumba viwili kimoja master bedroom, Sebule, Jiko na Public toilet... Parking kubwa ya kutosha. Umeme unajitegemea na Maji Dawasa..
Asked Price 300k per month
0743941142

 
Hii Pia ipo makongo juu Ina Chumba, Sebule, Jiko na Choo... Ina parking ya kutoshaa Umeme na Maji unajitegemea... 0743941142 Asked Price 250k per month.

 
Chumba, Sebule, Jiko na choo... Nyumba nzuri ya kisasa, umbali mchache kutoka Barabara kuu na Kuelekea mlimani city. Umeme na Maji Dawasa. Kodi 400k per month.. Wahi sasa 0743941142.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…