Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

Inaweza stawi kwa mkoa shinyanga.
 
Safi sana πŸ‘πŸ‘ nami ni wazo langu ila sijui pa kuanzia kwa maana ya aina ya ardhi ipi inafaa ila pia mbegu Bora. Natamani mbegu zetu asilia za miaka Saba maana zina thamani zaidi sokoni.
 
Mipango si matumizi! Una uhakika na mvua wewe? Unawajua wale wadudu wanaochokoa vilele vya minazi na kuiua yote kwa muda mfupi? Hayo ni baadhi ya maangalizo tu, otherwise Kila kheri!
Tupe elimu. Kiukweli hili ni zao ambalo halina taarifa za kutosha mitandaoni. Unaweza kukuta mwandishi hajui
 
Huwezi kupata minazi 400 katika ekari mbili, ongeza eneo.
 
Mipango si matumizi! Una uhakika na mvua wewe? Unawajua wale wadudu wanaochokoa vilele vya minazi na kuiua yote kwa muda mfupi? Hayo ni baadhi ya maangalizo tu, otherwise Kila kheri!
Ahsante sana kwa kumfumbua macho. Mpango wake umekaa kimotivational speaking zaidi kuliko utendaji halisi. Nina Mzee alikuwa na shamba lake kubwa na magari yalikuwa yanaenda huko kuchukua nazi zikiwa safi kabisa na kubwa......mambo yalikuwa bam bam. Sijui kimetokea nini, Sasa hivi Kuna minazi isiyozidi 20.
 
Safi sana πŸ‘πŸ‘ nami ni wazo langu ila sijui pa kuanzia kwa maana ya aina ya ardhi ipi inafaa ila pia mbegu Bora. Natamani mbegu zetu asilia za miaka Saba maana zina thamani zaidi sokoni.
Natumia mbegu za Asili naandaa mwenyewe, huwa nachagua nazi bora kutoka kwa wakulima nachagua ile minazi ambayo inazaa sana na ina nazi bora ndio nanunua nazi za mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…