Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

Majitu myeusi yamejaa NEGATIVITY asilimia kubwa ya COMMENT ni za kukatishana tamaa.Alafu wengi wamerithishwa ROHO YA UBINAFSI, haishangazi kwanini mpaka leo BLACK PEOPLE hatuna GENERATIONAL WEALTH.

Wanaocomment awape elimu sijui ujinga gani. Hawa ni kundi la MAZWAZWA wamekariri maisha na maisha yataendelea kuwachapa na kila siku mtakuwa WABANGAIZAJI.

Hii elimu ndo imezalisha machawa, mawinga, na madalali uchwara sasa mtu amejitahidi kufikiri nje ya BOX bado mijitu inataka imdidimize aendelee kufikiri kama yenyenyew mi BLACK PEOPLE/ HALF HUMANS HALF ANIMALS!!!

#BLACK PEOPLE SIKU WAKIACHA UBINAFSI WATAITAWALA DUNIA!!!

CHA AJABU HIYO SIKU HAITAKAA IFIKIWE😭😭😭
 
Hizi hesabu zinavutia kwelikweli. Na ukizingatia kuwa ndani ya shamba la minazi waweza kupanda mazao mengine ya msimu ukapata chakula na/au kuuza.
Nashawishika kutafuta shamba Sengerema au Buchosa.
 
Hizi hesabu zinavutia kwelikweli. Na ukizingatia kuwa ndani ya shamba la minazi waweza kupanda mazao mengine ya msimu ukapata chakula na/au kuuza.
Nashawishika kutafuta shamba Sengerema au Buchosa.
Tafuta shamba hata ekari 2 maeneo ambayo minazi inakubali na ufanye hii project utakuja kunishukuru
Huku niliko kuna watu wanatamba na minazi 50 tu
 
Hizi hesabu zinavutia kwelikweli. Na ukizingatia kuwa ndani ya shamba la minazi waweza kupanda mazao mengine ya msimu ukapata chakula na/au kuuza.
Nashawishika kutafuta shamba Sengerema au Buchosa.
Ukifanya hii project na ukafanikiwa naamini baada ya miaka 10 utaishi maisha yako vizuri nina ushuhuda kwa hili
 
Ndivyo tulivyo kukatishana tu
 
Haupo chama cha ukinzani kweli?Maana kuna mpango wa kuharibu mazao yako yote hapo shambani kwako.
 
Huwa nasikitika sana nikiona nyumba mjini daslam zimepigwa chata kali " nyumba hii haiuzwi wala haipangishwi, kesi ipo mahakamani"

Yaani wazazi/walezi wao walipambana wakawaachia mali wao kwa uchu wanazigombania mno.

Andaa mirathi mapema kuepusha zoge endapo wewe ndo utatangulia. Kila mtu ukiondoka apewe chake kwa mujibu wa mirathi.
 
Mwaka 1992 mshua wangu alifanya kama hivi. Ile minazi ipo mpaka leo watu wanavuna nazi.
 
Somo zuri sana hili
Life span ya minazi ni miaka mingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…