Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu


Wewe ni fala sasa Kwann asitumie bima yake mfyuuu
 
Wanakera Sana,Ni utomvu kweli wa nidhamu na kutaka kufukuziana riziki ndani ya nyumba...imagine umwage sahani nzima?malaika mgawa riziki akipita anasema Hawa kimewazidia,anapita zake😆


🤣🤣🤣 n kweli kabsa
 
Maskini huyo demu anakula madawa ya kulevya. Hakuna akili hapo mpeleke kwanza Sober house
 
Hizo pesa ulizokuwa unatumia umezitafuta kwa jasho lako mwenyewe au za kafara au za wizi na shulma? Lakini pia wakati wewe unamuona kama hamnazo mwenzako ni mjanja alikuwa anakunyoosha kwa makusudi na hukugundua.
 
Alikuomba umsaidie ameshindwa kulea wanae?
Kama alikuomba ni sawa

Ila isije ikawa unatumia gia ya kumsaidia ili umkule kimasihara sasa ye amekuwahi akaamua akuingize hasara
Thank you. Wanaume wengine hatujielewi. Yaani vitu vidogo kama hivi unashindwa kuvielewa.

Mwanamke anayejali na kukujali pia na wewe she will always take care your wealth. Hata kama hamna uhusiano.
 
Socket naye hamna kitu. Yeye anaamini Mwanamke ni tabia mbaya wakati hapo alikiwa ananyooshwa yeye bila kujua. Wanawake wana akili sana
 
Msisingizie usingle mom jamani. Wengine hayo maisha ya kula sehemu nzuri hawajazoea wakipata mtu wanaona wamalize kabisa na wao wasikose cha kuhadithia. Kakosa exposure huyo wako ndo maana hata hajui ale nini na bado anakula kama anamkomoa mlipaji
Hizi njaa ni nextlevel, demu anataka kula misosi ya gharama tu yani haoni kama hela anayotumia hovyo ingekuwa yake asingeifanyia hivyo yani mnajishushiaga heshima bila mpango
 
Si useme tuu mtoto mmoja ni wako!!
Unazunguukaaa.
Ndio maana yake na alimkomoa kweli kweli. akamwambi Dr Nipime na kolestero. Bill ikaja kama vile kafanyiwa operesheni.


Mkome kutelekeza wanawake badae nyege zikiwajaa mnarudi tena.
 
Hizi njaa ni nextlevel, demu anataka kula misosi ya gharama tu yani haoni kama hela anayotumia hovyo ingekuwa yake asingeifanyia hivyo yani mnajishushiaga heshima bila mpango
Mwanamke hata kama ana lipwa pesa nyingi ni wachache sana anaweA kusuka nywele za 70k bila kuhongwa.

Pesa ya kutafuta ina thamani sana na wanaijali
 
Mwanamke hata kama ana lipwa pesa nyingi ni wachache sana anaweA kusuka nywele za 70k bila kuhongwa.

Pesa ya kutafuta ina thamani sana na wanaijali
Hapo ndio inaponichosha, kuna manzi nilimuuliza juzi kiutani tu kuwa nataka nimtoe out huwa anapendelea vinywaji gani akasema oh pombe mi sinywi ila maybe robertson, saint anne and the like😂 nikamtega nikamuuliza je, wewe ulishawahi kujinunulia vinywaji vya aina hio hata siku moja endapo ukienda mwenyewe akacheka sana na kudai hawezi fanya hivyo kwa hela yake!

Utaona jinsi gani watoto wa kike ni wahuni mno😂
 
Fupa lililomshinda fisi wewe unawezaje kupambana nalo?
 
Mkiona Menu list mkiwa na ATM zinazotembe (wanaume) si huwa mnajifyatua tu yani
 
Ni wahuni sana. Usiwahendekeza kwa kutaka sifa utakufa masikini🤣🤣
 
Alikuona boya. Mm manzi tukienda nae kupata moja baridi moja ya moto namwambia kabisa kwa option mbili either anywe Balimi au Eagle. Mambo ya savanna tutagombana haiwezekani mtafutaji anywe local beer yeye azibue imported
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…