Hahahaha haya bwana IPongez kwako bwana j, ww n mfano wa kuigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha haya bwana IPongez kwako bwana j, ww n mfano wa kuigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakera Sana,Ni utomvu kweli wa nidhamu na kutaka kufukuziana riziki ndani ya nyumba...imagine umwage sahani nzima?malaika mgawa riziki akipita anasema Hawa kimewazidia,anapita zake😆Nmekupenda bure, hata me huwa spend mtu anayebakisha chakula. N her useme kipunguzwe lakn s kukishka shka na kukiacha, huo n ulimbuken na utovu wa nidhamu.
Wewe ndo mweupe Zaidi yake mkuu,,Yani single mother WA watoto watu, kila mmoja na Baba yake! Hujiulizi hao njemba imekuwaje wote wanamwachia watoto? Au wamekufa wote?Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
watu wa aina hiii tupo wachache sana.Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Pizza na milk shake??
Hiyo combination lazima ashindwe kula
Daah, siku ya kwanza kazingua kesho yake unamtoa tena na kesho kutwa yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looh
Nimekupenda bureeee!!safi sanaYaani katika Mambo ya chakula mtu akiacha chakula huwa namuona mshamba na limbukeni wa kupitiliza,kwa Nini uagize kitu hujawahi kula lakini?sijui huwa wanawaza Nini hata!
Nyumbani kwangu ukipakua sahani hairudi nyeupe hata Kama mgeni ukishashika ukasema Asante nauliza hiki nikakitupe??anaona aibu
Sisi wanawake tunafeligi sana sometime. Tena over very minor issues zinazotuvunjia heshima. Tunaendekeza sana njaa *****.
to be honest kwa hasira ningemtomber then nika mblock kabisaHuyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
🙏🙏Nimekupenda bureeee!!safi sana
Nitakukuta huko Mkuu tutie story?Wewe ni mbinguni moja kwa moja hata malaika hawatokuuliza maswali
Bila shaka huyo dada ana takoHuyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Nipe namba yake namm nimsaidie. Maendeleo hayani chamaHuyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Nilikasirika ikabidi nitoke nje nisione kile chakula kinarudi kumwagwa halaf bado nikilipieYaani katika Mambo ya chakula mtu akiacha chakula huwa namuona mshamba na limbukeni wa kupitiliza,kwa Nini uagize kitu hujawahi kula lakini?sijui huwa wanawaza Nini hata!
Nyumbani kwangu ukipakua sahani hairudi nyeupe hata Kama mgeni ukishashika ukasema Asante nauliza hiki nikakitupe??anaona aibu
Mkuu wewe ni mafia[emoji3][emoji3]Nakumbuka ilikuwa Jmosi fulani hivi, dada mmoja ambaye ni rafiki yangu alinipigia simu. J uko wapi? Nikamwambia niko getho. Nimeboreka home bana, tunaweza kutoka? Nikasema poa.
Tukaenda kijiwe fulani hivi, mi nilibeba 50,000.00. Tulikaa kuanzia saa 10 hadi saa 6 usiku. Nilitumia kama 23,000.00 tu, maana situmii wine, sijui bia. Labda Maji. Mwenzangu sasa, anakula hiki anaacha, mara sijui mbona ladha yake, sijuii nini, mara ili Mradi tu anikomoe!
Mara nifungieni niwapelekee watoto, ana watoto wawili, na msichana wake wa kazi + mdogo wake. Bill inakuja napewa Mimi kulipa 129,000.00/=
Nikamwambia mhudumu, naomba unipe ya kwangu kwanza! Akarudi akaniletea 23,000.00, then akampa yule dada 106,000.00. Nikatoa 30,000.00 nikaomba Chenji yangu. Akanipa 7,000.00 yangu nikatulia.
Namwambia lipa twende, anasema hana hela. Nikamwambia naondoka. Mhudumu nafikir mi sidaiwi naondoka. Akasema hudaiwi kaka, nikanyanyuka. Hivi kweli J ndo unaondoka bila kulipa, mi nishalipa wee ndo hujalipa! Lipa twende!
Akainuka akaenda pembeni, akaongea na simu, baada ya maongezi yale akamuuliza mhudumu unaweza kupokea kw M-pesa! Mhudumu sawa tu, ila uweke na ya kutolea. Mhudumu alivosema tu, nimeiona. Akanyanyuka bila kuniaga!
Tuko nae ofisi moja, hadi Leo hata nikimwambia tukanywe, chai naona anachungulia kwenye wallet yake kwanza, ndo ananyanyuka.
Single maza ni tabia halaf demu pisi kali.....Hizo taka taka mnatoaga wapi aisee..na inakuaje mnazivumilia...au papuchi zao kuliko...kheeee[emoji1787]
But nimegundua ukikuta mtu hana mtu na kazalishwa ..jiulize why ameachwa...aliyeondoka kilimshinda nn[emoji28]