Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Mange hajaanza Leo kupigania haki. Shule ya msingi alisoma Arusha School. Alikuwa hakubali kuonewa na mwl, watoto wenzake Wala matron. Ni hulka yake na huwezi kumbadilisha.
 
Huwa najiuliza,huyu mange siku amekuja nchini atasalimika kweli?
 
Hilo nilikuwa silijui mkuu
Yule rais wao Traore ana jeshi la wanajeshi halafu ana jeshi la watu wanaotumia AI mitandaoni kujaza uongo, kwa hiyo kwa watu wasiojua kuchambua habari ni rahisi sana kuamini ujinga wanaojazwa.

Kama anapendwa sana jivyo asingekataa kuingia kwenye uchaguzi na kupata kura za watu. Alikataa uchaguzi mwaka 2024.

Juzi juzi hapa kaua watu wao wa kabila la WaFulani kibao.

Lakini watu wasiofuatilia hawajui hilo.
 
Tunaambiwa amelipa deni la TAIFA lote,kanunua matrekta buku n.k
 
Alafu cha kusikitisha kuna watu wanajiita JWTZ wanamwangalia tu na kumshobokea kama mandezi.
JWTZ wakae mbali na CCM kwasababu CCM inaenda kuanguka na lengo la CCM ni kuiingiza nchi kwenye machafuko hawawezi kuanguka quietly watalishawishi Jeshi liwasaidie Jeshi hili ni la WANANCHI sio Jeshi la CCM.
 
Tunaambiwa amelipa deni la TAIFA lote,kanunua matrekta buku n.k
Fake news.

Google search ndogo tu inakuonesha hivi.

"Did Traore pay off national debt?"

AI Overview

No, Burkina Faso, under the leadership of Ibrahim Traoré, has not paid off its entire national debt.

While there have been claims circulating on social media suggesting that Burkina Faso has cleared its international debts, these claims are not supported by evidence and have been refuted by fact-checking organizations.

Here's a breakdown of the situation:
External Debt: Burkina Faso continues to hold a significant external debt. A Reuters fact-check from April 2025 indicated that Burkina Faso had arrears of approximately $5.6 billion to international creditors by the end of 2024.

Debt to China: It's also important to note that Burkina Faso owes an undisclosed amount of money to China, with no information suggesting this debt has been repaid.

Domestic Debt: Some social media users have also claimed that the government paid off $4.7 billion in domestic debt, but these claims also lack evidence.
In summary, despite claims to the contrary, there's no credible evidence to suggest that Burkina Faso has paid off its national debt under Ibrahim Traoré's leadership.
 
Mkwe wake, mwanae na katibu wake ndio vinara wa ufisadi awamu hii na wana pesa za kutisha zisizokuwa na maelezo yake
 
Sio maneno ya kushangaza sana. Kama taarifa za CAG huwa zinapuuzwa mchana kweupe iwe hii... CCM ni vibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…