Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Duuuh
 
Hii nchi mpaka hapa ilipofikia, inamhitaji kijana aina ya Ibrahim Traore. Akitokea na kufanya jambo, naamini wahuni wengi watakimbilia kwa wale mabwana zao wa Kiarabu wanaotaka kuwauzia nchi yetu.
 
Kuna waliosema zile nyaraka za Mange zilikuwa famba, oneni sana mwenye nyaraka zake amezitambua kuwa ni zenyewe.
Aisee.... Ile document wakati naiona nilikuwa siamini aisee....

Dokezo la malipo ya 15 billion...
 
Wawakumbushe watawala umuhimu wa kuheshimu katiba.
Katiba yenyewe inatueleza dhana ya "Civilian control of the military".

Katika nchi ya kidemokrasia, wanasiasa wanawaambia wanajeshi nini cha kufanya, wanajeshi hawawaambii wanasiasa nini cha kufanya (ukiondoa mambo ya ushauri wa kijeshi, ambao nao ni ushauri tu maamuzi ya mwisho ni ya wanasiasa).

Na wanasiasa wanapata mandate hiyo moja kwa moja kutoka kwa wananchi. Ndiyo maana wanasiasa wanapigiwa kura na wananchi na hakuna mwanajeshi anayepigiwa kura na mwananchi.

Na wanasiasa wakiharibu, anayetakiwa kuwawajibisha ni mwananchi, si mwanajeshi.

Kwa hiyo, wananchi fanyeni kazi yenu ya kuwaadabisha wanasiasa. Msiwaogope wanasiasa na kuwategea kazi yenu ya kuwaadabisha wanasiasa, mkawqachia wanajeshi.

Hiki ndicho mnataka kufanya hapa.
 
Kama ambavyo taifa lenye nguvu lilivyoongizwa na Wahuni kupitia Rais mgonjwa!
Jake Tapper and 1 more

Original Sin: President Biden's Decline, Its Cover-Up, and His Disastrous Choice to Run Again​

 
Bosi wa wanajeshi anateuliwa na nani?
 
Kama ambavyo taifa lenye nguvu lilivyoongizwa na Wahuni kupitia Rais mgonjwa!
Jake Tapper and 1 more

Original Sin: President Biden's Decline, Its Cover-Up, and His Disastrous Choice to Run Again​

Kwanini unataka kufanya Marekani iwe ndiyo topic wakati hatuzungumzii Marekani hapa?

Huoni kuwa hii ni "whataboutism"?

Unaelewa "whataboutism" ni nini?
 
Hivi kuna mtu ambaye alitilia mashaka nyaraka zile alizoweka Mange? Idi Amini Mama ni jambazi sugu full stop, hatuhitaji kauli yake
 
Habari za Mange ukiziamini maana yake wewe una matatizo binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…