Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

Huu ni ujinga mwingi kama wa slaa!! Kama magufuli akuhusika kwanini alikataa kuwa na uchunguzi HURU??. Zile CCTV camera ziliondolewa na chadema? Bogus kabisa!!
 
This is very simple than you think: Tuombe USA au Uingereza watupe wapelelezi wafanye uchunguzi. Kuna mengi sana wanaweza kutusaidia. Kupigwa risasi Mh. Lissu, Azori Gwanda na Ben Saanane kutoweka nk....
Mkuu, mbona serikali iliombwa sana, ikajifanya kiziwi? Unadhani vyombo vya usalama vilikuwa havijui kilichokuwa kikiendelea? POlisi walikuwa wakiambia hands-off, hyo ni operation ya chombo fulani cha usalama. Believe me, haya yalimkera sana Samia
 
Kabisa. Ndiyo maana watu wanasema mtu kama huyu mwanzisha thread na Dr Slaa ni wapumbavu kwani hawajui kwamba wanaposema mtu kama Ben Saanane alipotezwa na na Chadema basi wanalazimisha uchunguzi ambao utaanika kila kitu hadharani
Na hao watakaochunguza hadi sasa hawajui Ben Saanane alipotezwa na watu gani ndio maana watafanya huo uchunguzi ili ijulikane Chadema walihusika?
 
CHAWA CHAWA!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Ni mtu mjimga ndio ataungana na Slaa kuamini hivyo.

Ukiangalia matukio ya kukaribiana

Mosi Ben alipotea baada ya kuhoji uhalali wa PhD ya jiwe na chapisho lake kuipata.

Lissu baada ya kujihusisha ile issue ya madini muda mfupi tu ndio kidogo apotezwe.

Mimi siwezi kuwa mjinga nikubali cheap politics hizi yani CHADEMA wamuue Ben?

CHADEMA waende Area D wakapige mitutu mchana ?

What a nonsense.😀😀
 
umeongea kishabiki sana maelezo mareeeefu lakini hayana point hata kidogo wewe kama unawaamini chadema waambie wamlete dreva wa lissu ambaye alishuhudia tukio mwanzo mwisho wanamficha wa nini yeye alijuwa mipango iliyokuwa imepangwa na chadema mwanzo mwisho na haiwezekani kwa risasi zote zile yeye isimpate hata moja siyo kweli huyo ndiyo engineer wa hilo tukio chadema sasa hivi dunia inaanza kuwajuwa kuwa i watu wabaya kiasi gani dr slaa kaeleza ukweli maana anawajuwa vizuri wanatekana wenyewe kwawenyewe
 
sawa na wangwe alikufa baada ya kutaka uenyekiti chadema waziri mkuu mstaafu aliponea chupuchupu kuuwawa na mbowe na kuambiwa sumu haionjwi maana yake uenyekiti ndani ya chadema ni mali ya mbowe pekeyake
 
Sawa ewe usieongea kishabiki hongera basi!

Kwanza kusema maelezo mareefu inaonyesha upeo wako mdogo wa shule. Afadhali usingesema tuendelee kufikiri umeenda shule
 
Sawa ewe usieongea kishabiki hongera basi!

Kwanza kusema maelezo mareefu inaonyesha upeo wako mdogo wa shule. Afadhali usingesema tuendelee kufikiri umeenda shule
yaani unaonyesha ni kiasi gani unaujinga haujakutoka kichwani lazima muwajuwe chadema na salakasi zao wanamficha dreva wanini? haya ni sawa na suala lakina mdee mnalalamika wakati mnyika ndiyo alipeleka majina
 
Ongeza elimu ufute ujinga, huo ndio ushauri wangu wa bure kwako.
 
sawa na wangwe alikufa baada ya kutaka uenyekiti chadema waziri mkuu mstaafu aliponea chupuchupu kuuwawa na mbowe na kuambiwa sumu haionjwi maana yake uenyekiti ndani ya chadema ni mali ya mbowe pekeyake
Ben Saanane alipotezwa na Mbowe?

Fuatilia uzi wa Ben Saanane siku za mwisho kabla hajatoweka.

Kaelezea vizuri kisa cha kutishiwa maisha.

Narudia tena siwezi kufika level hii ya ujinga kuamini hearsays za huyu Slaa.
 
chacha wangwe aliuliwa na serikali? ni uchoyo wa madaraka wa mbowe na chama chake ambacho ni kama mali yake hataki mtu yeyote achukue kiti cha uenyekiti sasa anashindwa kumuua saanane? anashindwa kupanga njama za kummua lissu? kisa tu mtu yoyote anayeona anatamani uenyekiti lazima ampoteze suala la lisu pia anatakiwa dreva arudi atoe ushahidi wasilete ujanja lakini dunia inaanza kuwa jwa na mtakuja kuumbuka tu siku yaja muda ni mwalimu mzuri sana
 
Mkuu, mbona serikali iliombwa sana, ikajifanya kiziwi? Unadhani vyombo vya usalama vilikuwa havijui kilichokuwa kikiendelea? POlisi walikuwa wakiambia hands-off, hyo ni operation ya chombo fulani cha usalama. Believe me, haya yalimkera sana Samia
Nimekupata mkuu. Samahani sana nilikuwa nimekusoma vibaya au nilichanganya madawa. Mimi na wewe tuko page moja kabisa. Nadhani kuna mada nilichanga nikadhani namjibu jamaa fulani.
 
Thread 'Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali' Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Soma hapo MATAGA usiwe tarumbeta.

Chacha alifariki kwa ajali una lingine?

Unataka kusema mti uliogongwa na gari aliupanda Mbowe ulete ajali au dereva alikua Mbowe!
 
Naunga mkono hoja, ila kwenye hii hoja, Dr. Slaa pia ana hoja ya msingi!.
Na kwenye kuwabaini wasiojulikana hawa niliwahi kusema
Humu nilisema

Niliwahigi kuwaza hivi, kumbe pia kuna wengine waliowahi kuwaza hivi!.
P
 
Huyu mzee kazeeka vibaya. Bora angekaa kimya asubiri siku zake ziishe
 
ahahaaaa yaani unachekesha sana nduguyangu ben saanane alikuwa anatishwa na hilohilo kundi la mbowe na chacha wangwe kila mtu anajuwa kuwa ni mbowe ndiyo engineer wa mauwaji hayo yaani kama wewe hujui unafanya makusudi tu lakini ukweli unaujuwa
 
yaani unaonyesha ni kiasi gani unaujinga haujakutoka kichwani lazima muwajuwe chadema na salakasi zao wanamficha dreva wanini? haya ni sawa na suala lakina mdee mnalalamika wakati mnyika ndiyo alipeleka majina

..dereva inajulikana yuko Ubelgiji.

..Polisi wa Tz wanatakiwa wawashirikishe wenzao wa Ubelgiji ili dereva arejeshwe nchini.

..Na Tanzania ina mahusiano mazuri na Ubelgiji kwasababu Raisi alikuwa huko majuzi.

..Ukiona Polisi hawafanyi jitihada kumrejesha dereva nchini ujue kwamba hawana haja naye, hawaamini kwamba anahusika.
 
Kuna umuhim wa kuwaomba aidha FBI au Scotland yard ili mbivu na mbichi zijulikane!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…