Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

Slaa ametupatia mwanga kwenye mambo ya muhimu sana.

Chadema walikalia kumtuhumu Magufuli kwamba amemteka na kumpoteza Ben kumbe ni internal operation ya chama, kuua na kupoteza watu na kisha kutupia lawama serikali.

Sasa naanza kupata mashaka na walioshambulia Lisu, sasa naanza kuwaamini waliosema hii ni vita ya mamlaka vyeo ndani ya chama.

Ahsante sana mzee Slaa.
Huu ni ujinga mwingi kama wa slaa!! Kama magufuli akuhusika kwanini alikataa kuwa na uchunguzi HURU??. Zile CCTV camera ziliondolewa na chadema? Bogus kabisa!!
 
This is very simple than you think: Tuombe USA au Uingereza watupe wapelelezi wafanye uchunguzi. Kuna mengi sana wanaweza kutusaidia. Kupigwa risasi Mh. Lissu, Azori Gwanda na Ben Saanane kutoweka nk....
Mkuu, mbona serikali iliombwa sana, ikajifanya kiziwi? Unadhani vyombo vya usalama vilikuwa havijui kilichokuwa kikiendelea? POlisi walikuwa wakiambia hands-off, hyo ni operation ya chombo fulani cha usalama. Believe me, haya yalimkera sana Samia
 
Kabisa. Ndiyo maana watu wanasema mtu kama huyu mwanzisha thread na Dr Slaa ni wapumbavu kwani hawajui kwamba wanaposema mtu kama Ben Saanane alipotezwa na na Chadema basi wanalazimisha uchunguzi ambao utaanika kila kitu hadharani
Na hao watakaochunguza hadi sasa hawajui Ben Saanane alipotezwa na watu gani ndio maana watafanya huo uchunguzi ili ijulikane Chadema walihusika?
 
Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una busara watambue kuwa huna busara.

Mfano ni hili la Lissu na suala zima la kupigwa risasi. Ni kweli hatuna ukweli wote, lakini pia kuna viashiria vingi kwamba vyombo vya usalama vya serikali havikulipa uzito unaostahili katika kulipeleleza. Na pia kumekuwa na circumstantial evidence nyingi sana kwamba kwa namna moja au nyingine serikali ilihusika. Sasa pale Dr. Slaa anaposema hawezi kuongelea hili, kisha anaeleza kisa cha mtu alietekwa na watu wa Chadema wenyewe, ni wazi ana nia ya kuufanya umma uamini kwamba kuna uwezekano Lissu alipigwa risasi na watu wa Chadema.

Lakini sasa, hili wazo la Dr. Slaa lingekuwa na circumstantial evidence nje ya huyo alietekwa na Chadema wenyewe, labda ndio angepaswa kuliunganisha na hicho kisa kingine. Na Dkt Slaa, anajuaje kwamba huyo aliesema aliongoza kumteka mtu wa Chadema yote hiyo haikuwa part ya plan ya kuwavuruga Chadema kwa kuwagonganisha wao kwa wao? Hivi Dr. Slaa hajui dirty politics zinavyochezwa, Kampuni ya soda hii kuweka kondomu kwenye chupa ya kampuni ya soda ile ili watu waione ni kampuni ya soda chafu?

Kwa mfano, hivi Dr Slaa anajua kwamba muda mfupi baada ya Lissu kupigwa riasi Magufuli alimpigia simu Mwigulu Nchemba kama waziri wa Mambo ya Ndani atoe tamko kwamba serikali haikuhusika na jaribio la kumuua Lissu? (Mwigulu baada ya kupata ushauri wa wazee fulani wa CCM hakufanya hivyo, ikawa sababu mojawapo ya Magufuli kumchukia na hatimae kumtoa uwaziri). Muulize Mwigulu atakuambia, na utaelewa kwa nini pia Magufuli aliwachukia wazee fulani wa CCM.

Je, Dr. Slaa anajua kwamba Lissu alikuwa shadowed kwa muda mrefu kabla ya tukio? Je anajua CCTV recordings ziliondolewa pale kwenye eneo la tukio? Je Dr. Slaa anajua kwamba barabara zilifanywa tupu ili gari lililotumika kwenye jaribio liweze kupita bila pingamizi kuondoka sehemu ya tukio? Je Dr. Slaa anajua gari mpya ya Nissan Patrol ilitumika na kuchomwa moto ili kuharibu ushahidi? Sasa nani ndani ya Chadema anaweza ku-mount operation ya namna hiyo dhidi ya Lissu?

Nani ndani ya Chadema anaweza ku-mount operation za aina ya utekaji na uuaji uliofanywa na kuufanikisha bila kuwa na support ya serikali, na vyombo vya usalama vikae kimya bila kuwakamata kwa kutumia kila aina ya nguvu? Operation za namna hiyo ambazo nyingine zilifanyika mchana kweupe, zinaweza tu kufanyika ikiwa wanaozifanya wanajua serikali na vyombo vya usalama viko nyuma yao. Yaani hili ni gumu sana kwa Dr. Slaa kulielewa?

N wazi sana Dr. Slaa amekuwa currupted na zawadi ya ubalozi aliyopewa na Magufuli, na sasa inamfanya kuwa shabki namba moja wa Magufuli. In fact anaonyesha hata silka ya kumshutumu na kumpiga Raisi Samia vijembe kichinichini kwa huu ushabiki wake kwa Magufuli. Dr. Slaa amekuwa psychologicaly bribed and corrupted na zawadi ya ubalozi kiasi kwamba sasa anajisahau kabisa, he is becoming so naive to the extent of forgetting to be clever. Poor Dr Slaa.
CHAWA CHAWA!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Ni mtu mjimga ndio ataungana na Slaa kuamini hivyo.

Ukiangalia matukio ya kukaribiana

Mosi Ben alipotea baada ya kuhoji uhalali wa PhD ya jiwe na chapisho lake kuipata.

Lissu baada ya kujihusisha ile issue ya madini muda mfupi tu ndio kidogo apotezwe.

Mimi siwezi kuwa mjinga nikubali cheap politics hizi yani CHADEMA wamuue Ben?

CHADEMA waende Area D wakapige mitutu mchana ?

What a nonsense.😀😀
 
umeongea kishabiki sana maelezo mareeeefu lakini hayana point hata kidogo wewe kama unawaamini chadema waambie wamlete dreva wa lissu ambaye alishuhudia tukio mwanzo mwisho wanamficha wa nini yeye alijuwa mipango iliyokuwa imepangwa na chadema mwanzo mwisho na haiwezekani kwa risasi zote zile yeye isimpate hata moja siyo kweli huyo ndiyo engineer wa hilo tukio chadema sasa hivi dunia inaanza kuwajuwa kuwa i watu wabaya kiasi gani dr slaa kaeleza ukweli maana anawajuwa vizuri wanatekana wenyewe kwawenyewe
 
sawa na wangwe alikufa baada ya kutaka uenyekiti chadema waziri mkuu mstaafu aliponea chupuchupu kuuwawa na mbowe na kuambiwa sumu haionjwi maana yake uenyekiti ndani ya chadema ni mali ya mbowe pekeyake
 
Sawa ewe usieongea kishabiki hongera basi!

Kwanza kusema maelezo mareefu inaonyesha upeo wako mdogo wa shule. Afadhali usingesema tuendelee kufikiri umeenda shule
 
yaani unaonyesha ni kiasi gani unaujinga haujakutoka kichwani lazima muwajuwe chadema na salakasi zao wanamficha dreva wanini? haya ni sawa na suala lakina mdee mnalalamika wakati mnyika ndiyo alipeleka majina
 
Ongeza elimu ufute ujinga, huo ndio ushauri wangu wa bure kwako.
 
sawa na wangwe alikufa baada ya kutaka uenyekiti chadema waziri mkuu mstaafu aliponea chupuchupu kuuwawa na mbowe na kuambiwa sumu haionjwi maana yake uenyekiti ndani ya chadema ni mali ya mbowe pekeyake
Ben Saanane alipotezwa na Mbowe?

Fuatilia uzi wa Ben Saanane siku za mwisho kabla hajatoweka.

Kaelezea vizuri kisa cha kutishiwa maisha.

Narudia tena siwezi kufika level hii ya ujinga kuamini hearsays za huyu Slaa.
 
chacha wangwe aliuliwa na serikali? ni uchoyo wa madaraka wa mbowe na chama chake ambacho ni kama mali yake hataki mtu yeyote achukue kiti cha uenyekiti sasa anashindwa kumuua saanane? anashindwa kupanga njama za kummua lissu? kisa tu mtu yoyote anayeona anatamani uenyekiti lazima ampoteze suala la lisu pia anatakiwa dreva arudi atoe ushahidi wasilete ujanja lakini dunia inaanza kuwa jwa na mtakuja kuumbuka tu siku yaja muda ni mwalimu mzuri sana
 
Mkuu, mbona serikali iliombwa sana, ikajifanya kiziwi? Unadhani vyombo vya usalama vilikuwa havijui kilichokuwa kikiendelea? POlisi walikuwa wakiambia hands-off, hyo ni operation ya chombo fulani cha usalama. Believe me, haya yalimkera sana Samia
Nimekupata mkuu. Samahani sana nilikuwa nimekusoma vibaya au nilichanganya madawa. Mimi na wewe tuko page moja kabisa. Nadhani kuna mada nilichanga nikadhani namjibu jamaa fulani.
 
chacha wangwe aliuliwa na serikali? ni uchoyo wa madaraka wa mbowe na chama chake ambacho ni kama mali yake hataki mtu yeyote achukue kiti cha uenyekiti sasa anashindwa kumuua saanane? anashindwa kupanga njama za kummua lissu? kisa tu mtu yoyote anayeona anatamani uenyekiti lazima ampoteze suala la lisu pia anatakiwa dreva arudi atoe ushahidi wasilete ujanja lakini dunia inaanza kuwa jwa na mtakuja kuumbuka tu siku yaja muda ni mwalimu mzuri sana
Thread 'Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali' Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Soma hapo MATAGA usiwe tarumbeta.

Chacha alifariki kwa ajali una lingine?

Unataka kusema mti uliogongwa na gari aliupanda Mbowe ulete ajali au dereva alikua Mbowe!
 
Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una busara watambue kuwa huna busara.
Naunga mkono hoja, ila kwenye hii hoja, Dr. Slaa pia ana hoja ya msingi!.
Na kwenye kuwabaini wasiojulikana hawa niliwahi kusema
Humu nilisema

Wanabodi,!.
  1. What if kilichomtokea Lissu ni kutokana na issue nyingine yoyote na sio siasa?. Hili niliwahi kuuliza humu JamiiForums.
  2. Kama kuna chama viongozi wake waliwahi kutuhumiwa kupanga vitendo vya ugaidi na utekaji na video zikaletwa humu, hawawezi kuwa ndio wao wao waliopanga mpango huo?, kwa kufanya timing ya Dodoma ili wadhaniwe ni 'wale jamaa zetu'?.
  3. Kama Wangwe alipotaka kugombea uenyekiti alikufa kwa ajali yenye utata mpaka kesho, na huu ni mwaka wa uchaguzi wa ndani, haiwezekani ikawa ni an inside job ya friendly fires?.
  4. Kama Zitto alipotaka kugombea Uenyekiti alifanyiwa a life atempt kwa sumu, lakini kwa vile ameaga kwao, akasalimika, haiwezekani na Lissu pia ameaga kwao na ndio maana amesalimika?.
  5. Kama Mlinzi wa Dr. Slaa, alieaminika sana, lakini alipostukiwa, alishughulikiwa ipasavyo!. Haiwekani dereva wa Lissu has a hand ila hajastukiwa?!.
  6. Maadam Chadema wanao utaratibu wao wa ndani wa kuwashughulikia watu ambao threats kwao. Jee haiwezekani tukio la Lissu linaweza kuwa ni an inside job? na alihudumiwa hivyo na watu wao? ndio maana dereva hakuguswa?!. Kama watu wanaoweza kushughulikia hivi binadamu wenzao, they are capable of doing anything, then haiwezekani hii sasa ndio the advanced methods za kudeal na the internal threats zao?.
2. Party Politics hivyo this is an inside job.
Kama the motive behind the shooting ya wasiojulikana hawa ni partly politics ya siasa za ndani za run of kuelekea 2020, then polisi wetu waendelee na uchunguzi, soon watasalitiana na tutawabaini wasiojulikana hawa na watu humu watabaki midomo wazi kwa kutoamini.
Paskali
Niliwahigi kuwaza hivi, kumbe pia kuna wengine waliowahi kuwaza hivi!.
P
 
Huyu mzee kazeeka vibaya. Bora angekaa kimya asubiri siku zake ziishe
 
Thread 'Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali' Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Soma hapo MATAGA usiwe tarumbeta.

Chacha alifariki kwa ajali una lingine?

Unataka kusema mti uliogongwa na gari aliupanda Mbowe ulete ajali au dereva alikua Mbowe!
ahahaaaa yaani unachekesha sana nduguyangu ben saanane alikuwa anatishwa na hilohilo kundi la mbowe na chacha wangwe kila mtu anajuwa kuwa ni mbowe ndiyo engineer wa mauwaji hayo yaani kama wewe hujui unafanya makusudi tu lakini ukweli unaujuwa
 
yaani unaonyesha ni kiasi gani unaujinga haujakutoka kichwani lazima muwajuwe chadema na salakasi zao wanamficha dreva wanini? haya ni sawa na suala lakina mdee mnalalamika wakati mnyika ndiyo alipeleka majina

..dereva inajulikana yuko Ubelgiji.

..Polisi wa Tz wanatakiwa wawashirikishe wenzao wa Ubelgiji ili dereva arejeshwe nchini.

..Na Tanzania ina mahusiano mazuri na Ubelgiji kwasababu Raisi alikuwa huko majuzi.

..Ukiona Polisi hawafanyi jitihada kumrejesha dereva nchini ujue kwamba hawana haja naye, hawaamini kwamba anahusika.
 
Haipo Serikali duniani inayoweza kufanya mambo ya kijinga kwa jinsi hii kama yanayodhaniwa kufanyika awamu ya 5 ya Hayati JPM. In fact JPM na Serikali yake hawakuhusika

Huko mbele ya safari mimi naamini kabisa kuwa ukweli wote utakuja kujulikana tu. Vita kati ya ukweli na uongo, uongo huwa unaanza unashinda kwanza, halafu ukweli ndiyo unakuja kumalizia kwa kushinda mwisho.
Kuna umuhim wa kuwaomba aidha FBI au Scotland yard ili mbivu na mbichi zijulikane!!
 
Back
Top Bottom