Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bromensa

Member
Joined
Jan 3, 2024
Posts
22
Reaction score
24
Habari za leo,

Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.

Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.

Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
 
Naunga mkono maoni yako
...ila sasa wahuni watakubali mtu wao aachie kweli?
 
Maja atatudanganya tu, dotto nadhani anafaa zaidi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mapendekezo yangu, hawahapa nawaona kuwa wanafaa:
1. Kassim Majaliwa
2. Simbachawene
3. Gwajima
4. Dr Ali Hassan Mwinyi
Hawa wamekuja kichwani haraka haraka ingawa ishu ya mkristo sijazingatia. Nitarudi baadae kuongeza list au kuiedit hii
 
Mtz yoyote tu, ili mradi asiwe ccm, wala asiwe na, uhusiano, na, ccm
 
Rais ni mmja tuu Samia hao wengine ni Wapambe wake.

Mwisho uliwahi ona wapi PM akawa Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…