Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tibaijuka gani? Huyu aliyesema billio ni pesa ya mboga? O.K
 
Kama mama kasema hivyo Kijitonyama Kwaya lazima watie timu 😀😀

Dr Naniliu PhD na kaka mavita 😂🔥
 
Umri wa kustaafu umefika.

Wagombea Urais 2025, umri usizidi 55 yrs,

Zaidi ya hapo wakalee wajukuu!!
 
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemojrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM achukue tu fomu wakutane White House, Dodoma...
Unataka Mama wa watu atupiwe majini?
 
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemojrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM achukue tu fomu wakutane White House, Dodoma...
Ampe Mbowe vipesa kidogo, aikodi Chadema
 
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemojrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM achukue tu fomu wakutane White House, Dodoma...
Tanzanians need total changes in clothing, thinking capability, emotional attention, gender orientation, and realistic deeds.

The Tanzanian election in 2025 shall depict the silent backlash from the 'Wananchi'. The ruling CCM shall be eradicated on the map as the ANC narrowly succumbed to the disgraceful defeat.
ya uongozi. Tusogeze Hadi 2035 . Kila la her
 
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemojrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM achukue tu fomu wakutane White House, Dodoma...
Huyu mama kifupi mimi sioni kama ni kiongozi yaani .
 
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemojrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM achukue tu fomu wakutane White House, Dodoma...
Mengi uliyoyaandika ni upupu, umeshau walivyokuwa wanatorosha pesa kwa magunia kutoka Mkombozi bank? Umesahau alivyoita Bilioni 10 hela ya mboga? We lini utashika ht 100M? Kaazime akili km za kwako hazikutoshi.
 
1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.

2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.

3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.

4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.

5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom