Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahodha wa jahazi anayejua pepo zivumavyo na dalili za dhoruba za hatari lkn abiria walioko ndani ya jahazi waliowengi hawana na hawawezi kumtambua kwakuwa ni vipofu na na viziwi lkn wachache wanajitambua ila ndio walioko ndani ya engine room na kamwe hawataki kumsikiliza nahodha kwakuwa wananufaika na ugumu wa safari kwa kuuza mizigo njiani kimagendo.1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.
2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.
3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.
4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.
5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.
Mbona tunaendeshwa na raia wa Zanzibar?huyo ni raia wa ubelgiji, tuwe bizi na watanzania wenzetu
na yeye tutamkataa siku si nyingi, yupo kwenye muda wa kuazimaMbona tunaendeshwa na raia wa Zanzibar?
Magufuli hakuwa mzalendo Bali mlevi wa madaraka.Kama kweli ni mzalendo kwanini alimpiga vita Magufuli.
Au anafikiri siasa ni kutafuta sifa binafsi pekee.
Haka kajamaa kanapenda sifa za kijinga.
Hatuna muda na huo ujinga wake.
Nyie ndio mnaohangaika kumtetea marehemu kichaaBc tulieni acheni kumlalamika kila wakati
Mwigulu, marope waziri mkuuHabari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.
Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
Kwa uchaguzi gani?Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Hizo sifa zinaangukia kwa mtanganyika Tundu LissuTuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Unatuuliza sisi kama wapiga kura wa kawaida au kama Tume?Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia,Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Haujaulizwa weweDkt Samia,
Dr feki aka wamchongoDkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia,