Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sasa sijali nani atachukua madaraka,ingawa ningependelea mapinduzi ya kijeshi.
 
Lipumba ndio hana kura hata 1😃😃😃
 
Jeshi walikuwa na nguvu ya kupindua kipindi kile mwendazake kafariki, lakini kwa sasa hakuna wa kujaribu hilo
Sidhani.Changamoto ni kwamba,waliotaka kufanya vile ni wazee.Mapinduzi hayafanywi na vikongwe.Rejea mapinduko yote ya awali ni kuanzia privates hadi makepteni.Kwa wastani.Na,walitaka kuyafanyia sebuleni huku wanakunywa kahawa.Hopelesses kwelikweli wale.
 
Hapa naona upigaji kura kwa ushabiki wa mitandaoni lakini kwenye uhalisia Samia atapata 92?%
 
Je, uchaguzi utakuwa huru na haki au ni kama 2020?

Kuna washiriki hapo hawachelewi kukimbia na mpira kwapani na kwenda kupika matokeo
 
Nani utaamua kumpigia Kura Mwakani 2025 Kati ya Tundu Antipas Lisu Kutoka CHADEMA dhidi ya Samia Hassan Suluhu Kutoka CCM atakayekuwa anatetea kiti chake?
 
Back
Top Bottom