Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja , 2025 kuna wengi watashangaa!, umdhaniye ndie, sie, na usie mdhania, ndiye!.Natoa unabii utakao washangaza wengi.
Hili la urais 2024 nimelisema humu kwenye mada HII.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja , 2025 kuna wengi watashangaa!, umdhaniye ndie, sie, na usie mdhania, ndiye!.Natoa unabii utakao washangaza wengi.
Wise man TumainiEl aliye kaa viti nyuma, ni viti vipi hivyo?Natoa unabii utakao washangaza wengi.
Kwa ufupi yule bwana alie kaa kiti cha nyuma ndie yule ajaye najuwa kuna wale wamekaa mikao yote kuepuka ya Lowasa ila nawakumbusha wazidi kukaa mikao yote ila ajaye ni yule ako kwa kiti chanyuma na ili msipaniki hatokuwa na upande wowote isipokuwa kupikwa vilivyo yes ni moja ya picha kali ya kijasusi wa CIA kama sio FSB..
Bimkubwa walahiii atawafulahisha ila ndio hivyo maana tamaa zenu za urais sasa zinataka kuligawa Taifa sasa kabla hamjaligawa picha lazima lichezwe.
Wema hawafi na hata wanavyo kufa legacy yao hishi milele
Kama itakua hivi, Ntarudi kupiga kula again 😀Natoa unabii utakao washangaza wengi.
Kwa ufupi yule bwana alie kaa kiti cha nyuma ndie yule ajaye najuwa kuna wale wamekaa mikao yote kuepuka ya Lowasa ila nawakumbusha wazidi kukaa mikao yote ila ajaye ni yule ako kwa kiti chanyuma na ili msipaniki hatokuwa na upande wowote isipokuwa kupikwa vilivyo yes ni moja ya picha kali ya kijasusi wa CIA kama sio FSB..
Bimkubwa walahiii atawafulahisha ila ndio hivyo maana tamaa zenu za urais sasa zinataka kuligawa Taifa sasa kabla hamjaligawa picha lazima lichezwe.
Wema hawafi na hata wanavyo kufa legacy yao hishi milele
Tumpe Mh. Lisu, huyu mama na washauri wake akina mkenda wakajiari huko maana washaiba vya kutosha. Mbwa nyie akina mkenda.Tuwachambue kwa hoja thabiti na uwezo wao.
Nani anafaa kukuongoza wewe kama mtanzania kwa miaka mitano ijayo?
Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan ameshapitishwa kama mgombea rasmi wa nafasi ya Uraisi kupitia Chama cha mapinduzi - CCM na Mh. Tundu Antiphas Mughwai Lissu anatarajiwa kuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo - CHADEMA..
View attachment 3235560
WASIFU MFUPI WA WAGOMBEA;
Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Tanzania, na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika historia ya taifa. Alizaliwa tarehe 27 Januari 1960, Zanzibar, na alipata elimu yake katika masuala ya utawala na uchumi kabla ya kujitosa katika siasa. Samia alianza safari yake ya kisiasa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na alihudumu kama Makamu wa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, chini ya uongozi wa Hayati John Pombe Magufuli, kabla ya kurithi kiti cha urais baada ya kifo chake.
Akiwa madarakani, Samia ameongoza juhudi za kuimarisha diplomasia ya kimataifa, kuboresha uchumi wa Tanzania, na kurejesha uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya kisiasa. Amejitokeza kama kiongozi mtulivu, mwenye mtazamo wa mageuzi, huku akijitahidi kujenga Tanzania yenye mshikamano na maendeleo endelevu. Katika uongozi wake, ameweka mkazo katika uwekezaji wa miundombinu, elimu, na afya, akilenga kuboresha maisha ya Watanzania wote.
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria mashuhuri wa Tanzania, anayejulikana kwa mchango wake katika siasa za upinzani na utetezi wa haki za binadamu. Alizaliwa tarehe 20 Januari 1968, na alihitimu masomo ya sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kabla ya kujikita katika siasa. Lissu amewahi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, akijipambanua kwa misimamo yake thabiti dhidi ya serikali.
Katika safari yake ya kisiasa, Lissu amekumbana na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi ya kisiasa na mateso kwa sababu ya msimamo wake mkali wa kupinga utawala wa kidhalimu. Mwaka 2017, alinusurika katika jaribio la mauaji baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa nyumbani kwake jijini Dodoma. Baada ya matibabu ya muda mrefu nje ya nchi, alirejea kuendelea na harakati za kisiasa, ikiwa ni pamoja na kugombea urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA na kugombea na kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Suali kwani tuseme upinzani ume shinda uchaguzi wa RaisiKwamba Rais atatoka CCM hilo halina ubishi.
...ila tuwaombe tu kwa unyenyekevu CCM watupe mtu anayeeleweka
Tunahitaji Rais anayewaamini watanzania kuwa wanaweza, sio anayedhani wazungu au waarabu ndio wanaweza.
Hatutaki kurudishwa utumwani tena.
Labda amepewa ukochaMbona Kassim hajatajwa au sio mchezaji!