Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Haiwezi kushinda Dar ambako Kila sampuli ipo
 
Ni kweli.

1. Wasichana wenye Rangi nzuri. Arusha inaongozà✔️
2. Wenye kimo cha kati kwenda urefu. Arusha inaongozà ✔️
3. Wenye Sura Nzuri. Arusha inaongozà ✔️
4. Wadada wenye Shepu nzuri. Arusha inaongozà✔️ sio mtu anatako kubwa mpaka anashindwa kutembea.

5. Wadada wenye kujiamini. Arusha inaongozà ✔️

Mikoa ambayo niliwahi kutembea ikiwemo Dsm hakuna anayetoboa kwa Wadada wa Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…