Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda ,kwa mtazamo wangu bado nampa city kushinda hiyo game kutokana na kipara na mbinu zake,karibuni wadau kwenye uchambuzi wa mechi hii