ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Watu wana vichwa vigumuNinyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana vichwa vigumuNinyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
Ukweli wako umetimia.wengine walikua wanaongea kimihemko.Ninyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
wrong tyrToka awali nilitabiri fainali ya liverpool vs city, ngija tuone kama utabiri utatokea.
hahahaaaavitochi vitakuwepo?
bado kdg upatieReal 4- 1 city
hahahaaaaUnazani anacheza na Dar city
ndoto zako zisogeze mbele kdg maana Madrid ashaharibu tyrMkuu mimi siyo shabik wa city ila nawaombea sana wafike fainali wachukue UCL angalau timu mpya ichukue. Halafu msimu ujao PSG ibebe
Nini hiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Real Madrid 1-2 man city
Mtqbiri tambi tambi wa mchongoMadrid tulimpenda lakini Man city kampenda zaidi.
UCL FINAL: LIVERPOOL VS MAN CITY
Umefeli [emoji23][emoji23][emoji848]Toka awali nilitabiri fainali ya liverpool vs city, ngija tuone kama utabiri utatokea.
Niliwahi kusema hili kombe ni la madrid ila watu mkabisha, subirini mje kuona ushenzi wa Madrid kwenye final.Toka awali nilitabiri fainali ya liverpool vs city, ngija tuone kama utabiri utatokea.
Uzembe🙄, we jamaa vip hao majamaa ni mapafu ya mbwa , wamewatoa PSG, Chelsea , alaf uje useme mancity , vitoto vya mancity vilichoka .... Vimepelekewa moto mpak vimeflot unapigwa 3-1 alaf useme wamebahatisha hebu kuwa serious kidgMadrid wamefika fainali kwa uzembe wa City, as usual creates many chances but never scores..
Liverpool wawe makini na hawa jamaa, they have nothing to lose, already they are Spanish Champions, wame relaxx; tofauti na Liverpool ambao bado wanakimbizana na Man City
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]man City kaumaliza mwendoMadrid tulimpenda lakini Man city kampenda zaidi.
UCL FINAL: LIVERPOOL VS MAN CITY
Asalaaam Aleykum mkuu[emoji4]Man City anamla kichwa Madrid palepale kwao.
Kweli kabisa,Real Madrid inatosha sasa .....
Hatua hizi,Ninyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
Kajikaanga kwa mafuta yake mwenyeweMan city anatoka leo
Njoo unywe bia mkuu[emoji109]Siikubali Real Madrid ila ndo itakayo qualify kwenda fainal