DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Dkk 5 TU zimetosha kufanya maangamizi ya goli 3 kwa city[emoji23]Niliwahi kusema hili kombe ni la madrid ila watu mkabisha, subirini mje kuona ushenzi wa Madrid kwenye final.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dkk 5 TU zimetosha kufanya maangamizi ya goli 3 kwa city[emoji23]Niliwahi kusema hili kombe ni la madrid ila watu mkabisha, subirini mje kuona ushenzi wa Madrid kwenye final.
Jamaa Wana sifa hawa.....😃🙌Kweli kabisa,
Inatosha mkuu[emoji16]View attachment 2212057
[emoji120][emoji120][emoji120]Ninyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
Madrid akishanusa harufu la uefachampions,anakuwa na balaa hata awe mbovu vipi. Madrid anaingia fainaliToka awali nilitabiri fainali ya liverpool vs city, ngija tuone kama utabiri utatokea.
Shida leo casemiro ndani ,alafu Anceloti nahisi anaweza akaanza na vijana wale wawili vinicius na rodrigo ili kuipa changamoto beki za man city bila kumsahau benzema
Kumbukeni post yangu hii ,nilisema hawa vijana wana vipaji vya hali ya juuShida leo casemiro ndani ,alafu Anceloti nahisi anaweza akaanza na vijana wale wawili vinicius na rodrigo ili kuipa changamoto beki za man city bila kumsahau benzema
Huna jipya unatakiwa ujifiche Kwanzaa hahahaSema nin Mimi ninafurahi snaa team langu man city linavozungumuzwa dunia nzima kuanzia Jana ,Leo radio zote habari ni man city tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi man city lakini city kwenye mechi za mtoano ni kama simba , hawawezi kufika mbali kutokana na staili yao ya uchezajiSema nin Mimi ninafurahi snaa team langu man city linavozungumuzwa dunia nzima kuanzia Jana ,Leo radio zote habari ni man city tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani unatolewa kwenye kombe ambalo umekuwa ukiliangaikia miaka na miaka. "Then unafurahiSema nin Mimi ninafurahi snaa team langu man city linavozungumuzwa dunia nzima kuanzia Jana ,Leo radio zote habari ni man city tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Man City wameleta utoto saana, wamestahili walichopata.Madrid akishanusa harufu la uefachampions,anakuwa na balaa hata awe mbovu vipi. Madrid anaingia fainali
Muda utaongea, toka awali nasema kombe ni la liverkukuNiliwahi kusema hili kombe ni la madrid ila watu mkabisha, subirini mje kuona ushenzi wa Madrid kwenye final.
Kawaida tu, kibinadam [emoji23]Umefeli [emoji23][emoji23][emoji848]View attachment 2211939
Mnazungumzwa kwa upuuzi, cheki Liver na Madrid zinavyozungumzwa weweSema nin Mimi ninafurahi snaa team langu man city linavozungumuzwa dunia nzima kuanzia Jana ,Leo radio zote habari ni man city tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tangu lini city ikawa na shabiki wa kueleweka huku bongo mkuu? Binafsi nikiona mtu anajiita fan wa man city huwa hata sizungumzii naye mpira.Yaani unatolewa kwenye kombe ambalo umekuwa ukiliangaikia miaka na miaka. "Then unafurahi
sanaa"
Kweli nyie ni Plastic Fans
Sent using Jamii Forums mobile app
PSG wameleta utoto, Chelsea wakaleta utoto na Man city nao wakaleta utoto? Huoni kuna kitu unaogopa kusema mkuu? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Au mahaba yanasababisha usifikiri kwa usahihi?Man City wameleta utoto saana, wamestahili walichopata.
Timu pekee katika hizo ulizotaja basi ni chelsea ila nae ile zingzomg alikutana nayo pale kwake hata haelewi ilikiwaje kuwaje..PSG wameleta utoto, Chelsea wakaleta utoto na Man city nao wakaleta utoto? Huoni kuna kitu unaogopa kusema mkuu? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Au mahaba yanasababisha usifikiri kwa usahihi?
Madrid hii mnaiita mbovu ila inachakaza timu mnazoona ni bora.
Madrid mbovu ndio ipo viwango vya team bora [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Just imagine madrid bora inakuaje.
Mkuu naona umerudi pale pale.. Kwamba Chelsea kufungwa kwao hakustail au? Tatizo ninaloona hapa unajaribu sana kuonyesha kwamba hizi timu zimefungwa kwa kukosea na sio uwezo wa madrid. Kitu unashindwa elewa pia mechi za mtoano inapaswa kua smart sana especially ukiwa kwako, sio tu swala la kutafuta magoli.. Madrid katika mechi zake zote ugenini amejitahidi kuhakikisha hata kama anapoteza tofauti ya goli isiwe kubwa... Chelsea kwake alizidiwa na akapigwa kama inavyostaili, sasa unaposema haelewi ilikuaje kuaje nashindwa kukuelewa... Je madrid nae ajiulize ilikuaje kuaje hizi timu zikapata magoli pale bernabeu ilhali ameweza kuzitoa ndani ya dakika chache?? Yani timu bora inapigwa goli zaidi ya moja ndani ya dk 2?Timu pekee katika hizo ulizotaja basi ni chelsea ila nae ile zingzomg alikutana nayo pale kwake hata haelewi ilikiwaje kuwaje..
Usinitajie PSG timu inacheza kama ya ndondo, inacheza hovyo kama haina mwalimu hata haueleweki.
Man city natumai umeona, clear chances hazina idadi unakosa, sasa unategemea ucheze na madrid ukose nafasi kama zile kitakusibu kipi.
Kwangu liverpool ndio itakuwa kipimo sahihi, yale makosa ya madrid, Liverpool anaweza kuwahukumu.
Japo naona madrid kuna kaupepo kanamtembelea, subiri dk 90 pale PARIS
Shida unalazimisha nizungumze ambacho sijasema.. Ni ukweli wa dhati chelsea ilikuwa bora, mpira ni mchezo wa makosa ni mchezo wa bahati wakati mwingine.Mkuu naona umerudi pale pale.. Kwamba Chelsea kufungwa kwao hakustail au? Tatizo ninaloona hapa unajaribu sana kuonyesha kwamba hizi timu zimefungwa kwa kukosea na sio uwezo wa madrid. Kitu unashindwa elewa pia mechi za mtoano inapaswa kua smart sana especially ukiwa kwako, sio tu swala la kutafuta magoli.. Madrid katika mechi zake zote ugenini amejitahidi kuhakikisha hata kama anapoteza tofauti ya goli isiwe kubwa... Chelsea kwake alizidiwa na akapigwa kama inavyostaili, sasa unaposema haelewi ilikuaje kuaje nashindwa kukuelewa... Je madrid nae ajiulize ilikuaje kuaje hizi timu zikapata magoli pale bernabeu ilhali ameweza kuzitoa ndani ya dakika chache?? Yani timu bora inapigwa goli zaidi ya moja ndani ya dk 2?
Hawa PSG mmewaona wa hovyo baada ya kutolewa, ila wengi walisema it's over for Real Ile game ya kwanza tu.
Mpira ni mchezo wa makosa.. Timu bora inatumia makosa yako kukuadhibu kadiri inavyostaili.. Kama timu inashindwa kufanya hivyo pale timu pinzani inapokesea then haistaili kupewa sifa za ubora.
Game ya Liverpool tusubiri muda ufike, ni mapema sana kuongea. Na hii kitu ndio inawaangusha sana shabiki wa EPL pamoja na wachambuzi wake, wanaongea mno na wanakuja na matokeo uwanjani.. Binafsi Liverpool hadi hatua hii aliyofika hajakutana na team yoyote yenye UEFA caliber, kusema kwamba ndio mabingwa kama wengi wanavyosema naona kama ni kubeba matokeo mfukoni. Nikukumbushe tu final waliyokutana Juve na Madrid na Juve kuishia kula goli 4... Wengi walijua Madrid anaenda kupigwa... By then Juve anafika final karuhusu goli 1 tu kama sikosei, wakati huo Madrid anafika final kwa ups and downs kama hivi.
Tusubiri final. Ipo mechi moja tu, inahitaji game plan tofauti kabisa na knock out stage. Tusije na matokeo hapa mwisho wa siku tukaishi kwa shida